Nataka kufungua shule ya sekondari

Nataka kufungua shule ya sekondari

Fanya biashara..uza nunua.. uza nunua.. apply MERCHANTALISM.. yaan una buy cheap una sell dearly.

Sisi cha kukushaur wewe ukifungua shule UNAUZA NINI?????

Fanya biashara mzee...Mimi nili kua na biashara ya day care ila kwa hii miaka miwili imeanza ku fail maana wife ujauzito na maleziii sio jambo rahisi kabisaaa...

Fanya BIASHARA kaka shule ni long term investment
Unamaanisha Biashara yakununua uza au biashara ya shule
 
Ukimiliki shule au chuo ukapata wanafunzi full house utatajirika zaidi haraka kuna biashara za ziada utazifanya humohumo na bei utajipangia tu! Ebu imagine shule ina wanafunzi 500 kila mwanafunzi lazima awe na mashati mawili na suruali mbili kwa wale wa bweni kuna shamba dress kuna sports uniform unaweka sheria zinunuliwe shuleni tu! Check hela wanayooiga wamiliki wa shule hapo nimetolea mfano uniform tu. Kuna mahitaji ya wanafunzi unaweza kuyauza hapohapo shuleni au chuoni kwa sababu wanafunzi hawana namna!
 
Wadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu,nataka kufungua secondary vip biashara katika sector ya elimu hasa secondary Ikoje,
taratibu zipi zakufuata kufungua secondary na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto
Nipe tender ya kukutafutia walimu.
 
Angalia uko mkoa gani pia sababu competition ya mashule inaendana na eneo ulilopo , kwa maelezo uliyotoa eneo ulilopo inaonekana unaweza kupata wanafunzi, sasa 100M ni kiasi kidogo , kama unawezo fanya refinancing ya kituo chako cha mafuta upate hela zaidi ya kutengeneza shule yako, ukihitaji msaada wa kibank nicheki,
 
Kumbe hakufungua?, nakumbuka alikuwa amesha jenga na ana saka partner

Black Sniper si una Kumbuka ule Uzi🤣
Jf bana unaweza kudhani mtu yupo serious kumbe kaja kupoteza zake muda.....

malembeka18 mwaka 2020 alikua na mtaji wa mil 30 kaja dar anaulizia biashara.

Mara tena ana mil 35 kakusanya

Hapo kati kauliza uliza bei za fuso, mara ana kituo cha mafuta....mara kajenga tu ila hana mtaji wa mafuta anatafuta pa kukopa mil 50 sijui mara leo ana mil 100 😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu fungua college ndogo TU itakuja kushkur mkuu, serikalininawekeza sana kwenye mashule sasa hivi hakuna Dil huko

Fullstop, kwishaaaa
 



malembeka18 unatuona sie watoto 😃
 
Jf bana unaweza kudhani mtu yupo serious kumbe kaja kupoteza zake muda.....

malembeka18 mwaka 2020 alikua na mtaji wa mil 30 kaja dar anaulizia biashara.

Mara tena ana mil 35 kakusanya

Hapo kati kauliza uliza bei za fuso, mara ana kituo cha mafuta....mara kajenga tu ila hana mtaji wa mafuta anatafuta pa kukopa mil 50 sijui mara leo ana mil 100 😂😂😂😂😂😂
Mungu nifundishe kunyamaza
 

Intelligent businessman kaa na huyu businessman mwenzio
Simjui, mi niko kwenye ufundi wa makasi, 🦅😂
 
Back
Top Bottom