Nataka kufunga ndoa bila sherehe

Mimi nafunga ndoa mwezi huu isee, nilikuwa nataka kufanya hii style nimemwambia wife Mimi nataka ndoa tu kanisani then tusepe zetu, ila yeye anataka sherehe nimemwambia sherehe atafanya yeye huko ukumbini Mimi kipindi hiko Niko geto, akimaliza sherehe anitafute, sipendagi usumbufu isee
Safi sana mkuu.
 
Hii hela angeweka njombe kwenye miti mpaka leo angekuwa ana hela ya kupush Lexus Land Cruiser mang'ana tu! Na nyumba kadhaa mjini hapo
Na sasa hivi mambo yake yamekuwa magumu kweli kweli!

Full kukumbuka hela yake ya harusi

Kuoa masistaduu Kazi kwelikweli!
 
Mkuu naomba nisaidie hicho kifungu cha sheria kinachosema

NDOA LAZIMA UWE NA SHEREHE
Atakuwa bidada huyoo...mwanamke ndoa bila harusi anaona ni matusi makubwa kwake!

Watu tumetofautiana asee....nilivyo na uchungu na hela, halafu kirahisi rahisi ikalipiwe ukumbi, sijui Gari la kutubeba, kunywesha watu bia! Mume wangu hajafanya huo upuuzi nikamvumilia!
 
Ilikuaje mkuu mpaka leo anajuta?
Mke wake ni wale madada duu ( wanaopenda kujionesha kwa wanawake wengine kuwa wamepata mabwana matajiri)...

So wife ndo alifosii kingi afuu mama wa nyumbani sasa!

Sasa now upepo umegeuka bro hali yake sio nzuri kifedha, ndo anakumbuka hela zake sasa
 
Na sasa hivi mambo yake yamekuwa magumu kweli kweli!

Full kukumbuka hela yake ya harusi

Kuoa masistaduu Kazi kwelikweli!
Ujinga huo, we put money on long term investments...Mwambie apambane na hali yake, ufahari huo sionagi maana yake!
 
Back
Top Bottom