wewe ni mtu mzima kweli?Acha kuchezea watu wazima akili, kama vipi peleka hili swali lako Facebook. Hapa kila mtu ana imani yake na anafuata nyumba yake ya ibada na anaamini yupo sahihi kuwepo kwenye nyumba hiyo husika ya ibada, hivyo lazima akushauri uende kwake na mwisho wa siku utabaki kuzunguka zunguka tu. This is a platform of great thinkers stop playing with minds and faith of the people. Najua huna lolote wala huna shida na kujua kanisa nia yako ni kuona malumbano tu hapa.
Ooh nimetaja Efatha kwa vile hujalitaja hapo, kuhusu mazingaumbwe nina maana mimi nia yangu sio kwenda kanisani kwaajili ya kuonyeshwa miujiza miujiza wakati jinsi ya kuomba mwenyewe sijuhi maneno ya ushuhuda ndani ya neno la Mungu sina yani silijui neno, sasa hata nikifanyiwa hiyo miujiza siitakua kazi bure tuu sinitakua kilasiku mimi ni mtu wakutafuta miujiza, Nafikiri mwanzilishi wa miujiza alikua YESU KRISTO na aliifanya ili watu wamwamini sasa mtu kama mimi tayari nimeshamwamini YESU KRISTO kwanini nisifundishwe jinsi ya kuomba ili niwe naomba mwenyewekama ni hiyo miujiza itakuja tuu kwakuomba pekeyangu ?
Basi kama ni hivyo jiunge na jumuiya ili muwe mnasali kila siku na kuomba ila haya makanisa ya kishikaji (Ya wazungu wa sembe) watakulostisha tu na kukufirisi kila kitu huku mitume wenu/wao wanakula raha na kuwacheka kuwa wamepata wajinga wengine.
mchana wengi wamemwona Bwana katika maisha yao.
Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi
Maana halisi ya kanisa imo rohoni mwako, ukimkubali na kumkiri Yesu Kristo kwa roho na kwakweli kuwa Bwana na Mwokozi wako, kule kanisani ni mahali tu pakukutana na wana kanisa wengine
Tahadhari; Epuka makanisa yanayohubiri miujiza tu Siku zote
Epuka makanisa yenye viongozi wanaojiita mitume na manabii
Epuka makanisa yenye kusisitiza utoaji zaidi kuliko kuhubiri neno la Mungu
Unaweza kusali Anglikana, Katoliki, Lutheran na Pentekose lakini huko kwingine manabii na mitume wenye A.K.A nyiiingi kuwa makini nako, hasa kwakuwa umchanga kiroho
siombi ruhusa wala nikwamba naomba kuelekezwa nisije nikakosea njia, makanisa yamekua mengi nayanapingana means imanizao nitofauti kuna ndiyo na siyo
0
Jamani kwaanae jua anijuze niko more than serious pls
KakaJambazi Ushindwe na ulegee Latifa umechagua jambo jema.Karibu hapa Kinondoni TAG REVIVAL church karibu na biafra kuna kanisa lenye kumtukuza na kumwinua Bwana Ibada kila jumapili 1.00-4.00 asubuhi na 4.00-7.00 mchana wengi wamemwona Bwana katika maisha yao.
Karibuni wote wana jf kanisani leo fgbf(kwa kakobe) mwenge