Hyo ya kuzika na kusilimu jamaa zetu wenye mahusiano na Waarabu huwa wanaifanya faster..Tatizo lako lilianzia pale ulipowatangazia hata wale uliowaaminisha kuwa utawaoa na haikuwa hivyo.
Kwa nini mnatangaza sana uchumba kuliko ndoa?
Kikulacho kinguoni mwako.
Ktk vitu ambavyo havishauriwi kuvichelewesha ni vitatu
1. Ndoa
2. Kuzika
3. Kusilimu
Hivi vitu huwa vina fitna nyingi ndani yake.
Tafadhali usihairishe km huyo mke mtarajiwa hajakukosea
Mmachame atakunyongaWadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa.
Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu
Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa
Waarabu weusi?Hyo ya kuzika na kusilimu jamaa zetu wenye mahusiano na Waarabu huwa wanaifanya faster..
Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
Huyu anaitwa kichaa muda si mrefuHahaha hebu mpe walau majina mapya ambayo muda sio mrefu anaweza kuitwa baada ya kughairi kuoa
Hii kali sana mkuu..... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Acha kuingia ndoani kubaya huko oooooh .wewe kula kona au jifanye umepata kichaa
Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa.
Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu
Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa
Acha kuingia ndoani kubaya huko oooooh .wewe kula kona au jifanye umepata kichaa
Acha kuingia ndoani kubaya huko oooooh .wewe kula kona au jifanye umepata kichaa
Aiseee! Umekukosea nini huyo mwanamke ?mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu
Kha 🤣🤣🙌Acha kuingia ndoani kubaya huko oooooh .wewe kula kona au jifanye umepata kichaa