Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

...Why ghafla Cold feet, mkuu? Utakuwa umemtia Nuksi binti ya Watu na humtendei Haki!
Saa hizi yupo huko anajiandaa kisaikolojia kwa Harusi yake ya mwezi Oktoba na kuwashirikisha Ndugu na Marafiki halafu....Pwaa!! Mzee unaingia Mitini!
Tafakari na kumbuka Karma....!
 
Beba panga jifanye umechanganyikiwa nendaa ukweni kama kuna gari katakata matairi au kama kuna mifugoo piga panga mbuzi mmoja....utapiigwa lifetime ban kwenye hiyo familiaa
 
Ndo maana ongezeko la waokota makopo linazidi, ndoa zenyewe za kulenga kwa manati saivi uniambie huoi? Mwenzio anataka kuitwa mrs flani ayayajajajayayaaaaa nakwambia jina lako lingebadilika.
khaaaaaah
 
khaaaaaah
Izo aibu nazieka wapi kwa mfano, kama ameshakuja home, au labda iyo ndoa binti ndo alikuwa na shida nayo akajikuta amempa adi mwanaume ela ya mahari, lakini kama mwanaume mwenyewe ameamua na akili zake timamu akaenda kwa wazazi wa binti, akaandaa mahari akapeleka, afu aahirishe ghafla duh kuna la kujiuliza....
 
Ndio maana huwa sitaki mambo ya harusi ona unavowaza sasa.
Ukiachana na gaharama pia wengi wanaofanya harusi(sherehe), inafikia kipindi wanaishi kuridhisha watu kuachana hawawezi maskini yaani tabu tupu, wanawaza tu mtaa utawaonaje.

Pole ndgu yangu waambie tu hali halisi kama ni waelewa. Ila kama si waelewa tafuta sababu yoyote kubwa ama lah mueleze mtu yeyote anasikilizwa sana na familia , hakikisha yupo upande wako.
 
Sala saana mzee wanaume wengi walio makaburini na magerezani ni sababu ya wanawake/ndoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…