tungibwaga
Member
- Apr 1, 2012
- 51
- 11
Pole sana, Usikate tamaa hata kidogo hii hali inapita ,mawazo ya kujiua sio solution kabisa jaribu kutafuta watu wakupe ushauri wa kiroho, Mimi nakushauri mpe Yesu maisha yako yeye atakupa neema ya kipekee sana, Usiwaze tena kujiua kabisa ni dhambi lakini pia ukifa kwa njia hiyo lazima jehanamu inakungoja. Issue ya viwanja ni vizuri ukasema viko wapi na ukubwa gani.Habari za asubuhi wana jukwaa.
Mie ni mtumishi wa umma na niliajiriwa mwaka 2013.Nina watoto wawili wa kiume,Nina viwanja vitatu ambapo kimoja nimejenga nyumba iliyoishia kwenye linta.
Toka aingie mkulu maisha yamekuwa magumu Sana,si furahii kazi yangu hata kidogo naenda tu kazini kuonekana nipo.Na siyo kuwa ni mpiga madili Wala,zamani tulikuwa tunapata hata viextra duty vinatuboost mwezi unaisha,ila saivi Nina mwaka wa tatu siijui posho.Tulikuwa tunaenda kazini hadi jmos angalau tupate chochote tulishe family.
Nimejaribu kuuza kiwanja kimoja at least nimalizie nyumba nihamie,manake Kodi inanitesa Sana huku nilikopanga ila nimekosa mteja.wanangu wanasoma mmoja baby class na mwingine class one.Bado mfanyakazi kumlipa hapo hujasaidia ndugu wanao ona nalipwa mamilioni ilihali mwisho wa mwezi napokea laki mbili na ishirini(220,000) ambayo haikidhi mahitaj yote.
Am a single parent kwahiyo mimi ndiyo baba na mama kwa wanangu.Baba yao tuliachana akaoa,na alitaka wachukua watoto ila sikuwa tayari kuacha wanangu wa under 7 years walelewe na mama wa kambo,hivyo kawasusa hatoi hata Senti tano kwaajili yao,so am their only hope.
Naona napoteza muda,nimeshafikiria hata kujirusha ghorofan ili nitoweke duniani ila nikiwafikiria wanangu roho inauma naona sitawatendea haki.So nimewaza nikaona si bora niache kazi,niuze Kila nilichonacho ingawa wateja wanakuwa tabu,nihame mji,nende sehemu nyingine nikaanze upya.Nimewaza pia kufanya nite business at least watoto wale na nipate Kodi ya nyumba,sema dhamira inakataa.
Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.
Naombeni ushauri wadau nifanyeje?je niache kazi?then niende wapi ama nifanye Nini baada ya kuacha kazi,Ningekuwa Sina watoto ningeshaondoka kitambo,tatizo mustakabali wa maisha ya wanangu utakuwaje,nikiwaza Hilo nachoka,naishia kumwaga machozi kama mtoto.
Sorry kama ntakuudhi lkn huu ndiyo ukweli:Habari za asubuhi wana jukwaa.

Hapo kwenye kufungua kampuni inampasa awe makini zaidi...ajifunze kwanza kwa kina kuhusiana na kile anachotaka kukifanya ndipo aingie.Je,uliwahi kuwa na kampuni?,baki na kazi yako huku unatafuta fursa nyingine,....anza kuishi Low profile,usiendelee kujilazimisha kuishi maisha ambayo yanakula kipato chako.
Sio wewe tu unaekutana na hizo changamoto ni wengi sana!
USHAURI WANGU;
1.USiache kazi,utakuja juta sana,vile vitabu vya acha kazi ufanye biashara havi apply katika mazingira yetu tulio nayo.. it's very hard to get new job nowadays
2.Hama unapoishi,nenda pembezoni kidogo ya mji palipo na usafiri,kapange vyumba vichache
3.Ondoa watoto hizo shule za garama,mimi wa kwangu alikua anasoma hizo shule za private ada mlima nilimuondoa nikampeleka za serikali,saa hizi nalipa pesa tu ya tuition kwa mwezi elfu kumi,ila sijalipa mwezi wa tatu sasa na bado anasoma
4.Katika mtu mmoja aliefanikiwa kibiashara kuna watu 1000 waliofeli,so jitafakari na usiache kazi
5.Sikiliza moyo wako and Listen to people but take your own decisions
Ana mkopo huyo.Acha kazi ukiwa umejipanga!
Hivi ile kauli ya kwamba mfanyakazi wa kima cha chini alipwe Tsh 375,000 ilikuwa ni kick?
Salama mwanajumuiya mwenzangu. Naamini hauna kesi yoyote ya michango ya jumuiya hapo kigangoni.Hahahahaha... salama lakini?
We siyo dalali wa viwanja kweli!!? Maana unashauriwa mambo ya maana unang'ang'ania tu kuuza viwanja!!!!!Ngoja nijitafakari upya mamii
Ndomana nataka uza Kila kitu niondoke dsm,tatizo wateja wa plots zangu tu
Usiache kazi kama huna mbadala wake wa uhakika, ukiacha kazi ndio utajua kuwa kazi ilikuwa inakusaidiaKuna faida kuonekana wafanya kazi serikalini ilhali kuna wakati walala njaa na watoto?Sina sifa za kukopesheka,yani naona nilipoteza muda hata kuhangaika na shule Kama matokeo yake ndio haya.
Doh hahahahWe siyo dalali wa viwanja kweli!!? Maana unashauriwa mambo ya maana unang'ang'ania tu kuuza viwanja!!!!!
Jamani shtukeni, hili ni tagazo la viwanja.
Kila lakheri.
Ok shukrani anywayUsiache kazi kama huna mbadala wake wa uhakika, ukiacha kazi ndio utajua kuwa kazi ilikuwa inakusaidia
Pengine unaishi maisha ya juu kuliko kipato, tafuta nyumba ya bei rahisi, watoto wapeleke shule za serikali kama wapo private
Laki 2.2 unaweza ku survive nayo tu hadi mambo yatakapokuwa mazuri
Mimi nina ndugu yangu kasota Chuo Kikuu na hana kazi ya kumuingizia hiyo laki 2.2 tangia mwaka 2013, una afadhali kuliko watu wengi ndugu
Kampuni ni ya ishu nilosomea na nimeajiriwa nazo ktk fani hiyohiyoHapo kwenye kufungua kampuni inampasa awe makini zaidi...ajifunze kwanza kwa kina kuhusiana na kile anachotaka kukifanya ndipo aingie.
Shukran,ila siwez sema viko wapi manake nishaambiwa nafanya udalaliPole sana, Usikate tamaa hata kidogo hii hali inapita ,mawazo ya kujiua sio solution kabisa jaribu kutafuta watu wakupe ushauri wa kiroho, Mimi nakushauri mpe Yesu maisha yako yeye atakupa neema ya kipekee sana, Usiwaze tena kujiua kabisa ni dhambi lakini pia ukifa kwa njia hiyo lazima jehanamu inakungoja. Issue ya viwanja ni vizuri ukasema viko wapi na ukubwa gani.
Nakuombea Mungu akupitishe salama,
Hajalishi giza nene namna gani asubuhi yako inakuja.
Mwisho jitahidi kusamehe yote na wewe utasamehewa.
Shukran ila sihitaji mwenza kwasasaMtumishi wa Umma ndugu usijiue, shukuru kwa kila jambo. Endelea kupambana kutafuta mteja wa kiwanja umalizie nyumba hata kama utamalizia chumba kimoja.
Pia watoto wapeleke elimu bwerere huku unaendelea kujipanga, haya maisha hayajawahi kuwa rahisi.
Mwisho kabisa tafuta mwenza itapunguza uzito wa mawazo.
Kuwa na mwenza sio lazima uzae. Hata hivyo ni ushauri tu.Shukran ila sihitaji mwenza kwasasa
Sitaki kuongeza mzigo wa majukumu ya watoto ilhal hawa wawil bado sijakaa sawa
Naelewa ila sitaki kujiongezea mizigo tu kwasasaKuwa na mwenza sio lazima uzae. Hata hivyo ni ushauri tu.
Kama ni kazi ya serikali punguza mda na siku za kwenda kazini utafute shughuri zingine hata ya kuhudumia kuku
Sawa nimekubali but mbona umekomalia thread yangu?hakuna thread zingine ukoment?Ubishi, Ubishi, Ubishi, Ujuaji + tamaa
Hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia.