kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 365
ndugu zangu mimi nipo very serious. nataka kumpa surprise ya maua na zawadi ndogo mke wangu ambaye tumeishi naye miaka isiyopungua 4. huwa nampa zawadi mbalimbali ikiwemo mapenzi ya kweli.
sasa ndugu zangu nataka kufahamu wapi wanauza maua mazuri na wana service ya kufanya office delivery (yanatakiwa kuwa delivered ofisini iliyopo DAR CITY CENTER).nataka kufanya hili ikiwa ni alama ya upendo wetu wa kila siku.
ninaomba mwenye kufahamu anielekeze ili niende niweke order ili jumatatu waweze kufanya office delivery. unaweza kunipa hata namba ya simu au ramani, nitashukuru sana watu mkinipa taarifa kuhusu hili.