nataka ku-deliver maua na small gift kwa wife VALENTINE DAY. huduma inapatikana wapi

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
ndugu zangu mimi nipo very serious. nataka kumpa surprise ya maua na zawadi ndogo mke wangu ambaye tumeishi naye miaka isiyopungua 4. huwa nampa zawadi mbalimbali ikiwemo mapenzi ya kweli.

sasa ndugu zangu nataka kufahamu wapi wanauza maua mazuri na wana service ya kufanya office delivery (yanatakiwa kuwa delivered ofisini iliyopo DAR CITY CENTER).nataka kufanya hili ikiwa ni alama ya upendo wetu wa kila siku.

ninaomba mwenye kufahamu anielekeze ili niende niweke order ili jumatatu waweze kufanya office delivery. unaweza kunipa hata namba ya simu au ramani, nitashukuru sana watu mkinipa taarifa kuhusu hili.
 
da, safi sana hii, hongera kanyagio kwa kufanya uamuzi wa busara. pale samora avenue kuna mahali wanatoa hiyo service ila sina namba zao bahati mbaya.
 
Huduma inapatika Global Courier, ofisi zao ziko Ali Hassan Mwinyi Road karibu na na Presbyterian Church upanga opp na na palm beach. Namba zao ninazojua ni za Mobile 0655347272 hawa wanakuletea mpaka mlangoni. Kazi kwako.
 
hongera kaka! Kwa Dar city center, fuata maelezo ya carmel, service granted mkuu..
 
Carmel, mamushka, Elia na Lizzy nawashukuru kwa mawazo yenu.. thanks
ngoja nitwange hizo namba nione mambo yataendaje. nitapita leo niweke order kabisa halafu nitawapa feedback.

mwenye kujua sehemu nyingine asisite kuniambia!!
 
Pia kuna duka lipo Namanga jina melisahau ila namba ya mwenye hilo duka ni: 0754848084. Zamani kuna doka lilikuwa nyuma ya Bills linaitwa Tropical Flowers ila wamehama ule mtaa waliohamia hata siujui jina lake labda kama kuna mdau anaujua. Ila ni uhindini karibu na Kisutu kitu kama hicho.
 
da, safi sana hii, hongera kanyagio kwa kufanya uamuzi wa busara. pale samora avenue kuna mahali wanatoa hiyo service ila sina namba zao bahati mbaya.

Carmel, nielekeze vizuri ni maeneo gani ya Samora, maana Samora Ave. ni ndefu kuanzia kwenye sanamu mpaka karibu na clock tower. so i fyou dont mind nielekeze vizuri dada yangu!!
 
Pia kuna duka lipo Namanga jina melisahau ila namba ya mwenye hilo duka ni: 0754848084. Zamani kuna doka lilikuwa nyuma ya Bills linaitwa Tropical Flowers ila wamehama ule mtaa waliohamia hata siujui jina lake labda kama kuna mdau anaujua. Ila ni uhindini karibu na Kisutu kitu kama hicho.
umenikumbusha Tropical flowers, hapa mwaka 2000 au 2001 wakati my wife akiwa ni mchumba nilimnunulia zawadi hapo nikampelekea alifurahi sana.. tena hawa tropical flowers walikuwa wana ideas nzuri za zawadi. nikiwapata nitashukuru sana!!
 
Carmel, mamushka, Elia na Lizzy nawashukuru kwa mawazo yenu.. thanks
ngoja nitwange hizo namba nione mambo yataendaje. nitapita leo niweke order kabisa halafu nitawapa feedback.

mwenye kujua sehemu nyingine asisite kuniambia!!

Karibu mwaya.
 
Pia kuna duka lipo Namanga jina melisahau ila namba ya mwenye hilo duka ni: 0754848084. Zamani kuna doka lilikuwa nyuma ya Bills linaitwa Tropical Flowers ila wamehama ule mtaa waliohamia hata siujui jina lake labda kama kuna mdau anaujua. Ila ni uhindini karibu na Kisutu kitu kama hicho.
Mkare nimeshampigia na kakubali kufanya office delivery, nitaenda kuonanan naye later today or over the weekend!
 
wanandugu tayari nimeshafanya order .. nimeenda pale Namanga kwa dada mmoja anaitwa Tulli (simu imetolewa hapo juu) na kakubali kunitengenezea flowers nzuri kwa 20,000/= na ataongezea vijizawadi vingine e.g. valentine handkerchiefs, briefs, etc (nitavilipia). Delivery to City center itakuwa 5,000/=
ngoja nisubirie siku yenyewe!! nitatoa mrejesho!!
 
ndugu zangu mimi nipo very serious. nataka kumpa surprise ya maua na zawadi ndogo mke wangu ambaye tumeishi naye miaka isiyopungua 4. huwa nampa zawadi mbalimbali ikiwemo mapenzi ya kweli.

sasa ndugu zangu nataka kufahamu wapi wanauza maua mazuri na wana service ya kufanya office delivery (yanatakiwa kuwa delivered ofisini iliyopo DAR CITY CENTER).nataka kufanya hili ikiwa ni alama ya upendo wetu wa kila siku.

ninaomba mwenye kufahamu anielekeze ili niende niweke order ili jumatatu waweze kufanya office delivery. unaweza kunipa hata namba ya simu au ramani, nitashukuru sana watu mkinipa taarifa kuhusu hili.

Bravo Mkuu. umetoa somo la mapenzi ya kweli.
 
wanandugu tayari nimeshafanya order .. nimeenda pale Namanga kwa dada mmoja anaitwa Tulli (simu imetolewa hapo juu) na kakubali kunitengenezea flowers nzuri kwa 20,000/= na ataongezea vijizawadi vingine e.g. valentine handkerchiefs, briefs, etc (nitavilipia). Delivery to City center itakuwa 5,000/=
ngoja nisubirie siku yenyewe!! nitatoa mrejesho!!
You are a good man!Ongezea na UAMINIFU kwenye hiyo list ya zawadi!
 
Penzi lapaliliwa hati. Matendo unayoongelea yapi tena? Hwa wanandoa vitu kama hivi ni muhimu kustawisha pendo kwani hamkawii kuonana kama kaka na dada. Na matendo yako (uaminifu) ni private siwezi jua kama unanipenda kama husemi na kuonyesha. Wanandoa inakuwa shida hata kushikana mikono!! Mimi nimepania nikirudi Tz nikitembea barabarani mume wangu namuweka kwenye kwapa kama wazungu vile atake asitake. Aaah.
Ni moja ya matendo yanayoashiria kujalitkwa baadhi ya watu!
 
Nyumba Kubwa way to go!Kamatana na mumeo kisawasawa!Nwyz naongelea matendo kama kupeana zawadi na mengineyo!
 
Samahani wakuu hivi maua ndo yanaonesha mapenzi ya kweli au matendo yako?????????????????????????:twitch::twitch::twitch::twitch:

Babu Lao mapenzi hayana fomula, kuna wadada ukimpelekea banchi ya waridi nyekundu unammaliza.
Kuna wanawake ambao hata huwa wanasahau birth day zao (sio big deal) lakini wengine (kama wangu) usipofanya jambo on her birth day ni kama unaalika Kosovo.
Ni vizuri kufanya haya matendo madogo madogo maana Imani Bila Matendo Imekufa.
Kinachotakiwa ni kutosubiri valentini kuonyesha kwamba unampenda.

Ni hayo tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom