Natafuta

Natafuta

ndio ukweli. Maisha ya kawaida (upande wa material) ni kujitosheleza angalau kwa hayo
Utajiri is something else kabisa, unahusiana na mambo ya investment na hakiba

kweli. Tz ina idadi kubwa ya watu wanaish maisha hayo
 
Ni mimi. Nimemtoroka Anti yangu AshaDii, geti kali sana
na msaada wa uncle Kaizer ndio basi tena, lazima nijitegemee
labda nikupe kazi ya kuwa maid wangu home.kazi yako itakuwa kuniogesha,kunifulia kunipikia ila mshahara wake nitakupa mupenzi wangu ulale nae mwisho wa mwezi,mupesa sina
 
labda nikupe kazi ya kuwa maid wangu home.kazi yako itakuwa kuniogesha,kunifulia kunipikia ila mshahara wake nitakupa mupenzi wangu ulale nae mwisho wa mwezi,mupesa sina

Khaaaa! hapo utakua unanionea bure kabisa.
Nitafutie basi wakwangu mwenyewe.
 
Jamani, mwenzenu naanza maisha upya, nahama toka ushongo kuja Dar Es Salaam
Ninatafuta vitu vingi sana, nimekosa jukwaa ya kuweka thread yangu. Vitu vyenewe:

1. Natafuta kazi. Nina uzowefu mkubwa wa kazi za ndani, pia social works
Mshahara uniruhusu kuishi maisha ya kawaida (Nyumba, gari, vocha na mengine)

2. Natafuta mpenzi. Awe kijana, msomi, mwislam, awe open minded, awe na kazi
Pato na umri sio muhimu sana, muhimu awe muelewa sanaaaaa, na aishughulishe

3. Natafuta nyumba dar es salaam. iwe accessible kwa gari, maji na umeme permanent
Vyumba viwili, choo na jiko ndani, parking ndani ya pango. Isizidi tsh laki nne hivi

4. Natafuta Sim ya mkononi ya bei poa, hata kama used. Iwe smartphone nzuri tu

5. Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo. Awe wa kike au wa kiume sawa tu
Ila ikiwa ni wa kiume awe shoga ili baadae asije akanitongoza.


Asanteni kwa michango

no.5 nakidhi viwango,your welcomeeeeeeeee:confused2::confused2:
 
5. Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo. Awe wa kike au wa kiume sawa tu Ila ikiwa ni wa kiume awe shoga ili baadae asije akanitongoza.

Hapo kwenye RED kuna jamaa humu zamani alikuwa anajiita Bwabwa. Sasa hivi anajiita Boflo. Kwenye number 5 anaweza kukusaidia.

No COMMENT!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom