Natafuta kazi

Natafuta kazi

sanzy

Member
Joined
Jun 15, 2021
Posts
6
Reaction score
5
Habari za muda huu wakuu.

Naitwa Geofrey Athuman 28yr mkazi wa dar es salaam .

Natafuta kazi yoyote halali nitakayopata. Nina nidhamu, bidii, uaminifu na niko tayari kujifunza na kufanya kazi kwa juhudi.

Mwenye nafasi ya kazi au taarifa yoyote naomba anisaidie. Nitashukuru sana. Asanteni. 🙏
0763493987
 
Habari za muda huu wakuu Naitwa Geofrey Athuman 28yr mkazi wa dar es salaam . Natafuta kazi yoyote halali nitakayopata. Nina nidhamu, bidii, uaminifu na niko tayari kujifunza na kufanya kazi kwa juhudi. Mwenye nafasi ya kazi au taarifa yoyote naomba anisaidie. Nitashukuru sana. Asanteni.
Kila la kheri mkuu.
 
Unaweza kukimbia na mifuko miwili ya cement kichwani usiku

Duuuuuh uwezo huo ninao lakin sitakuwa nakimbiza kila siku mkuu kwakuwa mwili nao utafikia wakati utaanza kudai kupumzika na hizo kazi nimezifanya sana ety ,Sasa najarib kutafuta kazi ingine ambayo itakuwa friendl na hali yangu ya Sasa 🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom