Hivo vitabu vimeandikwa na watu waliomfahamu Mobutu maisha yake. Hivo cha kwanza kimeandikwa na Mkuu wake wa Usalama wa Taifa na cha pili kimeandikwa na mzungu aliyeoa binti ya Mobutu. Ukivisoma hivo vitabu unapata picha halisi nini kilisababisha hasa Zaire kuporomoka, nini kilitokea wakati huo, Mobutu aliishi vipi na wakati anakufa kilitokea nini huko Hospital
Mkuu, vitabu vya kifaransa kuvisoma ni unaingia google una search "translate a book online" utachagua website ya Google ni maalumu kwa kazi hiyo, uta upload kitabu chako alafu uta download translated copy