permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,485
- 15,298
Wakuu habari za majukumu? Natafuta fundi wa kueleweka aliye Dodoma, nataka kujenga frem 8 za maduka, ambazo zitakuwa chini nne, na juu nne(kigorofa flan simple). Fundi mwenye uwezo na hii kazi anicheki fasta. Weka makisio ya BOQ na gharama za ufundi.
Nitajibu kila kitu hapa kama kuna ufafanuzi unahitajika.
NB:
Mtu asinitafute inbox
Nitajibu kila kitu hapa kama kuna ufafanuzi unahitajika.
NB:
Mtu asinitafute inbox