Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,551
- 28,511
Pole sana , lakini ukiugundua ugonjwa huu ni chanzo cha tiba.Asante mkuu bt hiyo ni light depression yaani depression ya kawaida ambayo mtu anaweza kuistahimili na kuendelea na majukumu yake ya kawaida, hapa naulizia ile major depression au clinical depression ambayo mtu hushindwa hata kufanya majukumu yake ya kawaida
Usipoufahamu familia nzima inaweza kuteseka kwa tabia za mgonjwa.
Mke wangu almanusura tuachane kutokana na vitimbi alivyokuwa akionyesha.
Ni bahati tu tulishauriwa kumwona daktari psychiatrist, pamoja na mke wangu kukataa katakata lakini baadaye alikubali.
Baada ya matibabu ali improve sana.
Depression ni aina ya ugonjwa wa akili, ambao daktari alinijuza kuwa ni watu wengi tu wanaugua, ila hawajijui.
Dawa alizopewa mke wangu ni Oleanz, dosage ambayo anakupa daktari, pamoja na vidonge vya Benzhexol.
Dawa hizi zina side effects hivyo ni muhimu kuonana na daktari
Ni ugonjwa unaotesa sana.