Natafuta tiba ya Depression

Natafuta tiba ya Depression

Depression mara nyingi inatokana na wasi wasi wa itakuwaje..?

Nahiyo ni kwasababu tu watu wengi hawajui maana ya maisha!

Lakini pia watu wengi wanaishi kwa kujilinganisha na watu wengine (ushindani)...

If you want to be happy,kwanza kubali kua free mind na pia fanya yale unayoona yanakupa furaha wewe.

Ukifanya hivo depression utakua unazisoma kwenye mitandao kama hivi..
 
Pale Segera baada ya Oil Com kuna njia ya kwenda Segera Seminary mbele kidogo kulia kuna dr.wa magonjwa ya akili ,anatibu hilo Tatizo so fika pale atakusaidia.hizi hosp za serikali kama utaweza fika muhimbili pia watakutibu...dawa zake zipo za aina nyingi zikiwemo amtriprine au Prozac!Depression inatibika kama utawai tiba na pia kama mgonjwa ataeleza historia yake vyema kwa Dr.

Ok thanx mkuu, ntafuatilia ila siwezi pata namba ya simu ya huyo doctor?
 
Marijuana is not vry good for you for time being,because kush is just stimulant,so inaweza ikakupa stimu za depression zaidi au ukawa ok...ila jaribu ukiona imekupa nafuu just do it but dont be dependant

Marijuana sio addictive mkuu? je unapona kabisa? na je ntaipata wapi?
 
tiba kwa ww wa kike ni kupata muhogo wa jang'ombe, haha mbona dipression utaiskia kwa jirani tu..!
 
Depression mara nyingi inatokana na wasi wasi wa itakuwaje..?

Nahiyo ni kwasababu tu watu wengi hawajui maana ya maisha!

Lakini pia watu wengi wanaishi kwa kujilinganisha na watu wengine (ushindani)...

If you want to be happy,kwanza kubali kua free mind na pia fanya yale unayoona yanakupa furaha wewe.

Ukifanya hivo depression utakua unazisoma kwenye mitandao kama hivi..

Ni kweli kabisa mkuu unayosema na je kwa sisi ambao teyari tumeathirika tujitibuje? ilhali tumeshajifunza jinsi ya kuishi bila stress
 
Kush siyo addictive but inatoa full relux of mental and body,so mtumiaji kila akikumbuka ile relux anakua anataka kutumia zaidi! Usitumie mpaka upate maelekezo ya wataalamu zaidi.

Kazi kubwa ya kush ni kuongeza oxygen kwenye obongo,so ndomana unapata relux
 
Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama ni dawa atumie zipi ambazo zita act fast?
unawaza nini dear? why upo kwenye hiyo situation?
 
Ni kweli kabisa mkuu unayosema na je kwa sisi ambao teyari tumeathirika tujitibuje? ilhali tumeshajifunza jinsi ya kuishi bila stress
First all change living location..kama unaishi dar hamia mbeya,ili ubadili hali ya hewa na aina ya watu..then make new friends with free minds...kama ulikua umeajiliwa achana na ajira kama utaweza fanya mambo mengine,mana ajira nazo zinazingua watu siku hizi..

Usipende kukaa pekee yako,..
Endapo umekaa peke yako basi uwe busy na internet ukisoma vitu mbalimbali hasa vya kijasiliamali..
 
Kush siyo addictive but inatoa full relux of mental and body,so mtumiaji kila akikumbuka ile relux anakua anataka kutumia zaidi! Usitumie mpaka upate maelekezo ya wataalamu zaidi.

Kazi kubwa ya kush ni kuongeza oxygen kwenye obongo,so ndomana unapata relux

Okay ntaipataje?
 
First all change living location..kama unaishi dar hamia mbeya,ili ubadili hali ya hewa na aina ya watu..then make new friends with free minds...kama ulikua umeajiliwa achana na ajira kama utaweza fanya mambo mengine,mana ajira nazo zinazingua watu siku hizi..

Usipende kukaa pekee yako,..
Endapo umekaa peke yako basi uwe busy na internet ukisoma vitu mbalimbali hasa vya kijasiliamali..

ok thanx
 
Mimi zamani nilikua naogopa kufa,ila baadaye nikagundua kua kufa ni sehemu ya maisha ya vitu vyenye uhai,nikawa siogopi tena kifo.

Baadaye nikawa naogopa nikifa nitaenda wapi,na je mungu na shetani vipo?..baada ya kusoma sana na kufuatilia sana nikagundua hakuna mwenye uhakika kua mungu na shetani vipo,basi nikaamua kutokuamnini chochote,then nikawa na free mind! Pia nikagundua kua ukifa ndo mwisho wako.

Baadaye nikaona sijisikii furaha kuajiliwa..nikaacha kazi mwaka huo huo..nikaanza kufanya mambo yangu yanayonipa furaha..

Baadaye nikajiuliza kuhusu kua tajiri,nikagundua ili uwe tajiri inabidi uwe na uwezo wa kutatua shida za watu wengi,kwahiyo ikabidi nianze kutatua shida za watu ninazoweza kwa wakati huu, nalima then nawapa mazao watu wenye njaa,halafu wao wananipa asante ya hela kwa kuwaponya njaa.

Vipo vingi,ila cha msingi be humanist and free mind you cant go depression
 
Back
Top Bottom