NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,096
Nimependa hii mada kweli JF nzuri sana ni hivi mke wangu alikuwa na depression mwaka 1996 akaenda kwa Dr akapewa vidonge vya amptryline hata hivyo akapewa ushauri na mtu atumie water therapy anakunywa lita moja ya maji vuguvugu kabla hajalala.Kwa sasa ni mzima.Nikaja kugundua kumbe depression yake ilikuwa ni wivu wa mapenzi kuogopa ukimwi kumbe mimi siko huko sasa tumekuwa wazee amepona sometimes depressions zingine tunazitengeneza sisi wenywe kifamilia tukae pamoja tuwekane sawa dawa ni sisi wenyewe.Ila ukweli maji vuguvugu yanasaidia mishipa ya damu inapanuka ukiwa umelala na nashauri ukilala usivae nguo zinazobana damu ipite freely we are happy nowjaribu kutumia maji mengi kunywa, mazoezi, upate mda wa kumpuzika na kufanya kile kitu ambacho unakipenda sana!
Sent using Jamii Forums mobile app