Natafuta tiba ya Depression

Natafuta tiba ya Depression

Depression mara nyingi inatokana na wasi wasi wa itakuwaje..?

Nahiyo ni kwasababu tu watu wengi hawajui maana ya maisha!

Lakini pia watu wengi wanaishi kwa kujilinganisha na watu wengine (ushindani)...

If you want to be happy,kwanza kubali kua free mind na pia fanya yale unayoona yanakupa furaha wewe.

Ukifanya hivo depression utakua unazisoma kwenye mitandao kama hivi..
Nimekuelewaa mkuu
 
You need to see a psychiatrist akusaidie.

Kuna vitu kama anti-depressants , lakini pia kuna therapies unaweza ukapewa na ma psychiatrist kama CBT (cognitive behavioural therapy ikakussaidia)
Samahani mkuu cognitive behavioural therapy NDO nini naomba unieleweshe???
 
Pole.

Binafsi nadhani kutumia pills kwaajili yakupunguza aina yoyote ya depression si sahihi.

Kuondokana na depression inabidi ubadilishe lifestyle yako. Na hasahasa vile unavyowaza au kuyafikiria mambo.

Nafahamu si rahisi lakini inawezekana.

Mimi ni raiki practitioner. Nimesaidia watu wangu wakaribu kuepukana na depression.

Nimegundua matatizo ya depression au yale yakiwango cha juu Post Traumatic Stress Disorder ni ngumu kupatia ufumbuzi kwasababu matibabu yake yanahitaji mabadiliko kwenye maisha.

Kuanzia vitu unakula, sehemu unatembelea, watu wako wakaribu na nini unawazia maisha kwa ujumla.

Anza na kula vizuri. Nikisema kula vizuri namaanisha kula matunda na greens tu. Achana na vyakula vya wanyama na vyakula vingi vyakupika. Pia jitahidi kufunga.

Hii itasaidia afya yako. Pia itaimarisha uwezo wako wakujisimamia kwenye mambo mapya.

Ningekuwa mtu wako wakaribu au rafiki ningekusaidia kukuondolea msongo kwa energy healing.

Mimi ni very intuitive. Wakati mwingine I can see the aura ya watu au hata wanyama.

I have healing hands. Mwanzoni nilikuwa sijali sana lakini sana siwezi kupuuza tena kwasababu nimekuwa msaada kwa watu wakaribu.

Mkuu mkuu jaribu kufanya mabadiliko mepesi kama nilivyoainisha hapo juu.

Pia jitahidi kuongeza kipato chako uwe financially free.

Ukiwa hauna kipato kinachoeleweka ni rahisi kutumbukia kwenye over thinking ambayo inasababisha depression in a long run.

Ukitumia pills bila kutibu tatizo kuu soon utajikuta tena kwenye depression.

Pole na kila la kheri kwenye kutafuta suluhisho la tatizo lako.
Good ushauri mzuri mkuu
 
NILIWAHI KUUGUA MAJOR/CLINICAL DEPRESSION KWA MIAKA 8 HADI NIKAWA NAFANYA THERAPY KILA WIKI HOSPITALI BINAFSI. NIKAJA TENA KUUGUA OCD...OBESESSIVE COMPULSORY DISORDER...NI UGONJWA AMBAPO AKILI INAFIKIRIA NON-STOP. VYOTE NIMEPONA NA SIO KWA MSAADA WA MADAWA YA HOSPITALI JAPO YALINISAIDIA KIASI.

NITAFUTE NIKUSAIDIE.
Naomba inisaidie mimi nahisi pia nina depression
 
Ni process ya kubadili Mentality...kukusaidia ni hadi kukaa na wewe niku examine, counter-examine na kukusoma psychology na kukufanyia counselling kwa angle zote: dini, jamii, maisha yako etc. So sio ishu ndogo ya kuandika hapa na by the way siwez kupata huo muda
Nami pia nahitaji counselling nitakupataje docta
 
Cognitive behavioural therapy NDO nini Mkuu??
Kama nilivyosema ni therapy mara nyingi katika mfumo wa kuongea na therapist (lakini sio lazima kuna vitabu/kozi etc) ya kubadili mawazo au mtazamo kwa makusudi ni kama kujifunza kupinga mawazo yako mwenyewe ambayo ni negative na hayana uhalisi.

Nirudie tena kuna hali nyingi watu wanaita "depression", kuna wale ambao hawawezi hata kuamka kitandani au wana mawazo ya kujidhuru hawa wanahitaji msaada wa haraka zaidi ambao mara nyingi unahitaji dawa.


View: https://www.youtube.com/watch?v=UP8JwNYZBpI
 
download this, ni tiba
Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama ni dawa atumie zipi ambazo zita act fast?
MAZOEZI , MAZOEZI ,MAZOEZI
zingatatia hii kwa at least mara 5 kwa week serious working out routine
 
Kwa major depression ni anti depressants tu.
Zipo nyingi sana na zengine zinafanya kazi kwa mtu mmoja ila sio kwa mwengine na pia zina side effects nyingi so hakikisha unapata dactari mzuri.
Kama anajiweza kidogo angalia kitu kinaitwa cognitive behavioral therapy, hii ni therapy ya kubalidisha mtazamo wako ni one of the most effective depression treatments, kuna vitabu unaweza kudownload au kununua ambavyo ni kama workbook unafanya mwenyewe au upate actual therapist.
Nina recommendations ya natural anti-depressant imefanyiwa tafiti nyingi na pia Hailete utegemezi wa dawa au uteja.
Hii St.Johns wart ,jina maarufu.ni Moja ya nervine herbs and natural anti-depressant.
Kama una weza fanya utafiti binafsi kujiridhisha na maelezo niliyoyatoa na Kwa msaada namna ya kuipata nitakuwa tayari kusaidia.
 
Ndio Kuna wanaoshauri therapy.Ndio ni kitu kizuri.
Maoni yangu ni mtu kujitambua yeye ni waaina gani kutokana na makundi yafuaatayo.
1. Melancholic
2. Phlegmatic
3. Sanguine
4. Choleric
Makundi haya huwa na aina tofauti za msongo kutokana na Asili ya damu zao.
Sifa melancholic ni wapole na waoga na pia ni watu wa kulalamika na wapweke.
Phlegmatic ni wapole ,wabishi,wavivu,vibonge na marafiki.
Sanguine ni hodari,watu wa action,wapambaji,wakorofi
Choleric ni marafiki,maneno mengi,wacheshi,hawatuuli,

Kila aina ya watu hupata msongo kama Asili Yao inakuwa inaminywa.
Mfano ,mtu aina ya choleric kufanya shughuli zinahiji akili na utulivu wa akili basi huyu mtu atakuwa anamsongo sababu damu yake Iko mbio na anahitaji mazingira yenye kusisimua zaidi .
Mfano ,ni melancholic ambao wao hufuatilia vitu kiundani sana na wako makini na dosari hivyo kuweka katika mazingira ya Hali ya kutobirika au shughuli za kuongea sana kama sales huwa ni mateso kwao.
Sasa kama mtu anajijua yeye ni WA aina gani anaweza kupunguza speed au kuongeza kutoka kama na mazingira na Kwa watu aina ya melancholic wao kiasili ni depressed hivyo wanahitaji vitu kama nervine herbs au visisimuo/stimulants ambazo zitaondoa Hali ya damu nzito na kuwa nyepesi.
Kama Kuna wajuzi wajazie au tujadili.
 
Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama ni dawa atumie zipi ambazo zita act fast?
UKUCHA WA NUSU MWEZI.jpg

angalia kucha zako je zipo kam hizo hapo juu utajijuwa unayo hayo maradhi yanayokusumbuwa.
 
Yes unaweza sema ivo. Maana situmii any sort of pills kunisaidia ku get through the day.
By the way mkuu unaweza ni PM, we could be friends since we have the same history (If you are comfortable)
Naomba unipm Nna shida na wewe
 
Yes unaweza sema ivo. Maana situmii any sort of pills kunisaidia ku get through the day.
By the way mkuu unaweza ni PM, we could be friends since we have the same history (If you are comfortable)
NI kweli anahitaji upendo
 
Back
Top Bottom