tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,323
Hii ni kweli japo tunatofautiana namna ya kuhandle matatizo yetu.yaani hakuna mtu hana shida maishani kuna watu utawaona wana raha ukipewa maisha yao dakika moja unakufa.
Hii ni kweli japo tunatofautiana namna ya kuhandle matatizo yetu.yaani hakuna mtu hana shida maishani kuna watu utawaona wana raha ukipewa maisha yao dakika moja unakufa.
Mimi zamani nilikua naogopa kufa,ila baadaye nikagundua kua kufa ni sehemu ya maisha ya vitu vyenye uhai,nikawa siogopi tena kifo.
Baadaye nikawa naogopa nikifa nitaenda wapi,na je mungu na shetani vipo?..baada ya kusoma sana na kufuatilia sana nikagundua hakuna mwenye uhakika kua mungu na shetani vipo,basi nikaamua kutokuamnini chochote,then nikawa na free mind! Pia nikagundua kua ukifa ndo mwisho wako.
Baadaye nikaona sijisikii furaha kuajiliwa..nikaacha kazi mwaka huo huo..nikaanza kufanya mambo yangu yanayonipa furaha..
Baadaye nikajiuliza kuhusu kua tajiri,nikagundua ili uwe tajiri inabidi uwe na uwezo wa kutatua shida za watu wengi,kwahiyo ikabidi nianze kutatua shida za watu ninazoweza kwa wakati huu, nalima then nawapa mazao watu wenye njaa,halafu wao wananipa asante ya hela kwa kuwaponya njaa.
Vipo vingi,ila cha msingi be humanist and free mind you cant go depression
Kwanza mwanzoni niliteseka sana kwa sababu sikujua kwamba huu ni ugonjwa...Asante mkuu wewe ulitumia dawa gani?
hahahaha akukunje kwelikwelindo nmekwambia...tafuta dume akukunje cku 3 mfululizo....ajue mahaba lkn
Kwanza mwanzoni niliteseka sana kwa sababu sikujua kwamba huu ni ugonjwa...
Nilipogundua kua ni ugonjwa niliamua kujitoa ili nipone nilibadilisha maisha yangu yote-nilipona taratibu kwa muda baadaye nikasahau yote
Ndo maana kuna specialists wa haya mambo... Tatizo hapo bongo physiatrists wengi ni makanjanja tu...(I've seen almost 4 of them)... Cha msingi in kuelewa kua depression and sadness ni vitu tofauti sana... Depression is a different kind of monster... You lose the will the live, unaamka na 0 energy... Ukiamka asubuhi the only thing you look forward to is getting back to bed, kufanya usafi hata wa mwili inakua hadithi, unahisi hakuna ambaye anakuelewa
- Cataliyya pole sana mi nakuelewa sana unapozungumzia depression... Tatizo ni ngumu sana mtu kuelewa depression mpaka apitie.... Depression ni zaidi ya ugonjwa.... Nashangaa watu wanasuggest unywe maji mengi... Sijui mazoezi, mara green tea..like seriously???
Anyway kupata Huduma za hawa physiatrists ghali kidogo ila inabidi u see one of them, katika uzoefu wangu nimetumia anti depressants nyingi ila Prozac ndo nimetumia muda mrefu... Tatizo haya madawa ni kama madawa ya kulevya( have never touched the staff)... Maana yanakufanya ujihisi kua katika ulimwengu mwingine... Like no one exists na baada ya muda unakua dependant on them...usipotumia hata siku moja unajihisi kufa yanii+ ni ghali sana... Prozac zinaweza kuku cost mpaka 400,000 kwa mwezi depending on your dosage
Mkuu nakushauri usikate tamaa... Bado kuna a small will in your body which still exists... Isikilize and be strong.... Hizi anti depressants sio a good solution sana ila usiache kutafuta msaada wa kitaalamu... Mimi nliacha kutumia haya madawa na sikufichi iliniwia vigumu sana yanii ila Mungu alinisaidia... Got over the depression... Got a good job.. New friends and most important the body of my dreams.... See a physiatrists and take all your problems to the gym..trust me its a good listener...
Naelewa unachopitia na Mungu akusaidie ndugu
umejuaje ni depression ??HABARI WANA FORUM....... Yoyote anaefahamu tiba ya ugonjwa huo hapo juu anifahamishe???
Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama ni dawa atumie zipi ambazo zita act fast?
Uko vizuri mkuu hongera sanaStart watching your thought without judge....become two in you...nataka kila ukiwa unaanza kuwaza jigawe mtu mmoja ndani yako awe anaangalia tu kile unachowaza..mtu mwingine ndo huyo adui yako anaetaka kujifanya wewe.Ukiweza kuyaangalia mawazo yako bila kuchangia chochote utagundua kuna mtu mwingine ndani yako anayejifanya anakujua sana na kukupa stress zisizoisha...wewe kazi yako ni kumuangalia tu usicomment kitu wala kuwaza kitu...baada ya mda kila wazo baya likija litaishia kwenye mawazo yako nakupotea halitakupeleka kwenye depression...just observe,dont resist,dont judge, dont try to stop anything....
Sent using Jamii Forums mobile app