piga 0763 215181 ni Mkazi wa tarafa ya AmaniNaweza kupata mawasiliano ya mkazi wa iyo tarafa?
mkuu niunganishe na hao jamaa nichukue chngamoto mana hata mm nipo kwenye huo mchakatoNaona wadau wengi wanaongea kirahisi Nina wasiwasi Kama kweli wanaujua uhalisia. Kuna mtu nilisha wahi interact naye alianzisha kiwanda cha toothpick na mwenzie na malighafi ilikuwa Hiyo mianzi, walizunguka sana Iringa bila mafanikio mpaka wakafunga mradi sababu watu hawauzi mianzi Yao kwasababu ya Pombe ya ulanzi. Walifanikiwa kupata trip moja tu ya fuso na mchezo ukaishia hapo
Jaribu bahati pengine unaweza kupata Ila changamoto ndio Hiyo hawauzi sababu ya ulanzi
njoo mtwivila, kalenga na isimani..kwanza picha linaanza utapiga ulanzi wee hadi uombe pooo, halfu tunaingia kukata mianzi! nna shamba kubwa sana ntakuuzia mwani mmoja tsh 250.Mkuu Iringa wilaya zipi ambazo ninaweza kupata kwa wingi? Maana Iringa ni kubwa
Kuna mianzi ya ulanzi na mianzi ya kawaida.! Mianzi ya ulanzi ni milaini sana na inakuwa mifupi sana. mianzi ya kawaida ni minene na mirefu japo inategemea na sehemu ilipooteshwa.!Naona wadau wengi wanaongea kirahisi Nina wasiwasi Kama kweli wanaujua uhalisia. Kuna mtu nilisha wahi interact naye alianzisha kiwanda cha toothpick na mwenzie na malighafi ilikuwa Hiyo mianzi, walizunguka sana Iringa bila mafanikio mpaka wakafunga mradi sababu watu hawauzi mianzi Yao kwasababu ya Pombe ya ulanzi. Walifanikiwa kupata trip moja tu ya fuso na mchezo ukaishia hapo
Jaribu bahati pengine unaweza kupata Ila changamoto ndio Hiyo hawauzi sababu ya ulanzi
OK
Ngoja niwasiliane na MAAFISA MISITU wenzangu nijue ni wapi utapata mzigo wa kutosha. Ila itakuwa ni huo ukanda wa coastal regions
Mkuu, naomba utaratibu wa kupata kibali cha haraka ili kuvuna na kusafirisha mbaoOK
Ngoja niwasiliane na MAAFISA MISITU wenzangu nijue ni wapi utapata mzigo wa kutosha. Ila itakuwa ni huo ukanda wa coastal regions
daaa umenikumbusha mbali sana maeneo ya maweni motel SONI SEMINARYnjoo Soni Lushoto utapata tani 10 zitakusogeza
Mkuu njoo Nachingwea lindi Tanzania utaipataHabari wadau,
Natafuta zaidi ya tani 50 za mianzi (Bamboo) kutoka sehemu yoyote Tanzania Bara. Kwa mwenye kujua mianzi inapatikana wapi kwa wingi niko tayari kuifata hasa kwa maeneo ya Dar es salaam, Pwani, Tanga, Morogoro na maeneo jirani.
Nahitaji kwa matumizi yangu binafsi na niko tayari kusafirisha mwenyewe na kuomba vibali kutoka maliasili.
View attachment 449727
Mwenye kufahamu inapopatikana naomba anijuze.
Iringa na Njombe kuna mianzi midogo (Miembamba) ya Ulanzi hakuna mianzi (minene), Ulanzi hutoka kwenye mianzi membamba(fito), mianzi minene ipo Morogoro Milima ya uluguru wanatengenezea matenga ya kubebea ndizi, au mifumo ya kitamaduni ya kuvutia maji. Utaipata mingi lakini kwa sasa ni gharama maana kila mtu analinda mashina yake. Nenda Matombo ndani, kanisa katoliki, utawakuta Waluguru wanasukia ndizi, wape ramani, ndani ya wiki utapata TANI 30.Mkuu nashukuru sana, Naweza kupata mawasiliano ya mkazi wa hayo maeneo?