Natafuta tani 50 za Mianzi (Bamboo)

Naona wadau wengi wanaongea kirahisi Nina wasiwasi Kama kweli wanaujua uhalisia. Kuna mtu nilisha wahi interact naye alianzisha kiwanda cha toothpick na mwenzie na malighafi ilikuwa Hiyo mianzi, walizunguka sana Iringa bila mafanikio mpaka wakafunga mradi sababu watu hawauzi mianzi Yao kwasababu ya Pombe ya ulanzi. Walifanikiwa kupata trip moja tu ya fuso na mchezo ukaishia hapo

Jaribu bahati pengine unaweza kupata Ila changamoto ndio Hiyo hawauzi sababu ya ulanzi
mkuu niunganishe na hao jamaa nichukue chngamoto mana hata mm nipo kwenye huo mchakato
 
Mkuu Iringa wilaya zipi ambazo ninaweza kupata kwa wingi? Maana Iringa ni kubwa
njoo mtwivila, kalenga na isimani..kwanza picha linaanza utapiga ulanzi wee hadi uombe pooo, halfu tunaingia kukata mianzi! nna shamba kubwa sana ntakuuzia mwani mmoja tsh 250.
 
Naona wadau wengi wanaongea kirahisi Nina wasiwasi Kama kweli wanaujua uhalisia. Kuna mtu nilisha wahi interact naye alianzisha kiwanda cha toothpick na mwenzie na malighafi ilikuwa Hiyo mianzi, walizunguka sana Iringa bila mafanikio mpaka wakafunga mradi sababu watu hawauzi mianzi Yao kwasababu ya Pombe ya ulanzi. Walifanikiwa kupata trip moja tu ya fuso na mchezo ukaishia hapo

Jaribu bahati pengine unaweza kupata Ila changamoto ndio Hiyo hawauzi sababu ya ulanzi
Kuna mianzi ya ulanzi na mianzi ya kawaida.! Mianzi ya ulanzi ni milaini sana na inakuwa mifupi sana. mianzi ya kawaida ni minene na mirefu japo inategemea na sehemu ilipooteshwa.!

Upatikanaji wake ni mgumu sababu ile haipandwi mara kwa mara, ukiona msitu wa mianzi ujue hapo ni mahame imepandwa enzi za (sogesa.), Kwa zamani ilikuwa inatumika kwa ujenzi na uezekaji wa nyumba, ususi wa vikapu na nyungo.....Ila sasa hivi sababu watu wanajenga nyumba za matofali na kuezekea mabati mianzi inazidi kupotea taratibu sababu umuhimu wake unapungua siku hadi siku.

Naongea kulingana na uzoefu wangu Makete.!
 
mkuu jajcom .... swali la msingi kabla ya kupata source ya mianzi (Bamboo) .... Je unataka mianzi kwa matumizi gani? ..... Kwasababu kuna aina (spicie) zaidi ya 100 za bamboo na kila spicie ina characteristics, properties and behaviours tofauti katika matumizi
 
Ipogoro, kilolo, dabaga, ifunda, kidamali, mufindi, hizo ni sehemu za kupata mianzi makini kwa mkoa wa iringa, kule vijijini. Tani zote unavuna hapo
 
Mkuu kama unampango wa kuanzisha kiwanda cha Toothpaste nakupa bigup. Tutolee hii aibu ya kutumia TP toka china
 
Habari wadau,
Natafuta zaidi ya tani 50 za mianzi (Bamboo) kutoka sehemu yoyote Tanzania Bara. Kwa mwenye kujua mianzi inapatikana wapi kwa wingi niko tayari kuifata hasa kwa maeneo ya Dar es salaam, Pwani, Tanga, Morogoro na maeneo jirani.

Nahitaji kwa matumizi yangu binafsi na niko tayari kusafirisha mwenyewe na kuomba vibali kutoka maliasili.

View attachment 449727

Mwenye kufahamu inapopatikana naomba anijuze.
Mkuu njoo Nachingwea lindi Tanzania utaipata
 
Mkuu nashukuru sana, Naweza kupata mawasiliano ya mkazi wa hayo maeneo?
Iringa na Njombe kuna mianzi midogo (Miembamba) ya Ulanzi hakuna mianzi (minene), Ulanzi hutoka kwenye mianzi membamba(fito), mianzi minene ipo Morogoro Milima ya uluguru wanatengenezea matenga ya kubebea ndizi, au mifumo ya kitamaduni ya kuvutia maji. Utaipata mingi lakini kwa sasa ni gharama maana kila mtu analinda mashina yake. Nenda Matombo ndani, kanisa katoliki, utawakuta Waluguru wanasukia ndizi, wape ramani, ndani ya wiki utapata TANI 30.
 
Back
Top Bottom