Natafuta tani 50 za Mianzi (Bamboo)

Natafuta tani 50 za Mianzi (Bamboo)

OK

Ngoja niwasiliane na MAAFISA MISITU wenzangu nijue ni wapi utapata mzigo wa kutosha. Ila itakuwa ni huo ukanda wa coastal regions
Kumbe wewe ni Afisa Misitu!
Eti ushuru wa mbao unafanyikaje?
Mbao moja moja au bulk, eg fuso?
 
Habari wadau,
Natafuta zaidi ya tani 50 za mianzi (Bamboo) kutoka sehemu yoyote Tanzania Bara. Kwa mwenye kujua mianzi inapatikana wapi kwa wingi niko tayari kuifata hasa kwa maeneo ya Dar es salaam, Pwani, Tanga, Morogoro na maeneo jirani.

Nahitaji kwa matumizi yangu binafsi na niko tayari kusafirisha mwenyewe na kuomba vibali kutoka maliasili.

View attachment 449727

Mwenye kufahamu inapopatikana naomba anijuze.
Chukua hukohuko Pwani aisee,
Huku kwetu usijemaliza mianzi ya ulanzi.

CC: Ilula
 
Kuna hard wood na soft wood

Mfano wa hardwood ni Loliondo (Olea capensis), na softwood ni Pinus patula
Nataka kujua haswa utaratibu wa tozo za mbao kwa hizo species: kwa maana ya ammount na utaratibu wa charges zake (wanachaji pa piece au volume)
 
Habari, mm nimefanya hiyo kazi na spicies unayotaka naijua nipigie tuongee 0717712071
 
Nahitaji mianzi kama inayoonekana hapo juu kwenye picha. Unaweza kuipiga picha unitumie niione.
Kuhusu gharama inategemea na eneo inapopatikana na urahisi wa usafiri
Nenda tarafa ya Amani wilaya ya Muheza utapata kwa wingi na yenye afya tofauti na huko ulikosikia.
 
Naona wadau wengi wanaongea kirahisi Nina wasiwasi Kama kweli wanaujua uhalisia. Kuna mtu nilisha wahi interact naye alianzisha kiwanda cha toothpick na mwenzie na malighafi ilikuwa Hiyo mianzi, walizunguka sana Iringa bila mafanikio mpaka wakafunga mradi sababu watu hawauzi mianzi Yao kwasababu ya Pombe ya ulanzi. Walifanikiwa kupata trip moja tu ya fuso na mchezo ukaishia hapo

Jaribu bahati pengine unaweza kupata Ila changamoto ndio Hiyo hawauzi sababu ya ulanzi
 
Dah, kama ni kweli basi tuna safari ndefu ya kufikia maendeleo. Nyumbani kwetu bukoba vijijini huwa ipo tena mirefu kama anayoitaka. Tunaita mishekeanda. Huu Uzi ningeuona mapema kipindi nilipokuwa likizo bukoba ningeorganize awe anaipata malighafi hii. Mianzi ya Iringa ni mifupi na myepesi, si rahisi kufikisha tani 50
 
Kimsingi Kama unahitaji Hii kitu Ni vizuri kujipanga upande mwenyewe ili upate uhakika wa supply
 
Naona wadau wengi wanaongea kirahisi Nina wasiwasi Kama kweli wanaujua uhalisia. Kuna mtu nilisha wahi interact naye alianzisha kiwanda cha toothpick na mwenzie na malighafi ilikuwa Hiyo mianzi, walizunguka sana Iringa bila mafanikio mpaka wakafunga mradi sababu watu hawauzi mianzi Yao kwasababu ya Pombe ya ulanzi. Walifanikiwa kupata trip moja tu ya fuso na mchezo ukaishia hapo

Jaribu bahati pengine unaweza kupata Ila changamoto ndio Hiyo hawauzi sababu ya ulanzi
Mkuu binafsi nahitaji si kwa ajioi ya toothpick, Nina matumizi tofauti , nilikuwa nimeshafanikiwa kupata takribani fuso 8 ila sehemu niliyokuwa nachukua upatikanaji wake umeanza kuwa wa shida.. Ndio maana najaribu kutafuta source nyingine
 
Back
Top Bottom