Natafuta sperm donor

Natafuta sperm donor

Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.

Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).

Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm

Naomba nikutafute
 
Kwenye weupe apo daaaah,ila hata mm nataka mtoto coz wanawake wenyewe wanazingua saana so nikimpata kid wangu mmoja tu hyo anatosha saaana,bt ni maji ya kunde mm n nipo serious sema hyo sifa nimekosa ila mtoto angelelewa vzr tu teena saaana
 
Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.

Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).

Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm

AGE LIMIT PLEASE
 
Kudonate hapo inakuaje?si kukuwekea kwenye kichupa si ndiyo?kama kukuingizia kwa namna ya kawaida ya mababu na mabibi zetu mi nipo tayari hata muda huu. We nambie tu tukutane wapi siku gani nikakukamulie. Maana mi vigezo vyako vyote ninavyo pia na akili ninazo sana so mtoto atakuwa kichwa
 
Ahahaaaah...
Umetisha mkuu..!
 
Kama kuowa hamtaki, mnataka tufanyaje sasa? Bora nizae mapenzi nihamishie kwa mwanangu
Aqeela
Pole na shida zikupatazo. Wewe umekwisha athirika kisaikologia sjui utasaidikaje.
Wewe ulisikia wapi mtu akupe mbegu kwa njia hiyo?
Afghanistan inawezekana kwa watu waendao vita au kujitoa mhanga. Hivyo wazo hilo futa unless labda kama unaleta nyuzi kufurahisha baraza lakini kama uko serious utoe mchezo mtu ajaze.
Ili mradi una uwezo ni rahisi! Wanaume wapi hata kukuoa na ukaishi starehe kama una kipato chako.
Wanaume wengi wanakataa majukumu sababu ya hali mbaya ya maisha, lakini useme bwana kazi yake ni kuchoronga tu! Madini yatapatikana.
 
Ushauri ni vema ungetafute MUME wa kuzaa nae ila hapo utakuwa unazini tu na mtoto utakae mzaa atakuwa wa nje ya ndoa huoni si jambo zuri
 
Hivi sperms kwa kiswahili zinaitwaje?? Wengine mmetuacha stand ya mwendo kasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom