kifutu bana..nlianza juzi!Yani mkuu hata miaka 25 unasema uko mbali kuifikia lakini umeshaanza kuumizwa na mapenzi, sasa mwenzetu uliyaanza lini hadi yameshakukinai? Ni mawazo yangu tu![]()
staki...Ngoja nije pm tufike mwafaka ila mizinga no.
Sasa nikishadonate hizo spamu mimi napata nini labuda?mtoto anabaki kwako? faida yangu ni ipi?? au unataka kututumia kama darajaNimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.
Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).
Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm
MWe! Juzi tu umeshaumizwa!!! jamani watu wabaya kweli aggyjay!kifutu bana..nlianza juzi!
WANAUME WA DAR TENA....HAHAHAHAHA UMENIKUMBUSHA MBALIHakuna wanaume Dar??
Hizi hali ulizozitaja na uhitaji wako ni tofautiKusingekuwa na ongezeko la watoto wa mtaani na single mothers mkuu
afadhali we umeona..MWe! Juzi tu umeshaumizwa!!! jamani watu wabaya kweli aggyjay!
staki...
si kwa kukataa huku naona unapishana na msimu wa hela na huu mpunga niliyouza ngoja nile bata peke yangu.Tafadhali Mkuu Nakuomba Ni PM Haraka SanaNimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.
Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).
Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm
Kumbe DSM hakuna wanaume, hahaha
Mkuu hata zikiwekwa kwenye chupa orgasm lazima ihusike.Orgasm lazima ihusike
Unasoma wap?kifutu bana..nlianza juzi!
Badala ww um pm unataka tena aku pm! Wanaume wengine sijui wapoje sijui domo zenge la darajaNi pm