Natafuta sperm donor

Natafuta sperm donor

Hii ni dalili mbaya kwa mwanamke yani unaomba kuzalishwa 2 nenda kwenye nyumba za ibada uombewe
 
Umri umeanza kukutupa mkono. Pia umeumizwa kimapenz, sawa inawezekana kuna sababu zilizojificha mbali na hizo hadi ufikie hatua ya kukata tamaa kiasi hicho, yaan kuamua liwalo liwe (kuzaa tu na yoyote) sio mbaya kuzaa lkn ni yupi unayezaa naye, yawezekana usichana wako kuna kitu ulikosea ndio maana uliumizwa, sitaki kuangalia nyuma kwamba ulikosea, usiku ni mrefu lkn ningekushaur uwe na uvumulivu kidogo labda utapata wa kuwa nawe ingawaje sijui umri ulio nao kuliko kuzaa na yeyote, hiyo ni ishara tosha kwamba usichana wako ulikuwa tofauti na wengine au muda mwingi ulitumia kwenye elim so umeshtuka umri umeenda unashindwa la kufanya unaamua. **lolot liwe
 
Taja umri wako na vipi kuna age limit kwa wanaume unaotaka?
 
Asante kwa ushauri
 
Hahaaaa.. Nilimaanisha humu wako wengi walioumizwa lakini kuumizwa kusikufanye uwe sperm donor . Kams mtu anataka mtoto kwa nini asiende Clinic hapa Dar akapandikiza sperm. Kuna clinic hapa iko afadhali kidogo kwa bei haswa yeye mwenye degree zake . Million 30 unapata process ya Sperm bila kupata mashaka . Akapandikize tuu clinic halafu alee mwanae kama kweli ana nia ya Sperms tuu.

Why should I waste 30m Kwa kitu ninachoweza kukipata free? Hiyo amount si itanisaidia kulea mtoto!
 
Nadhani nimekidhi vigezo
Urefu ft 6.0
Mweupe
Dushe size 6.7"
Njoo pm kwa maelezo zaidi
 
mashart nafuu sana, toka nijiunge JF leo ndo nimesoma ke anatafuta me kwa haya mashart.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
pole aqeelah...tatizo watu hawajui tu au wanajua situation halisi unapojikuta kwenye upweke ulopitiliza..hata mimi japo hata miaka 25 sijafika na bado mbali but hali kama hiyo ya kuumizwa na upweke ikiendelea hadi 30 nakuwa mawazo kama yako,yani naimagine nko room na toto langu tunakimbizana wee,tunaruka kitandani basi nifurahi na kusahau ya dunia..but je wewe umefikiria ikitokea ukafarik ghafla ni nani atamlea mwanao kwa mapenzi yote as u know hii dunia ya sasa.
Ngoja nije pm tufike mwafaka ila mizinga no.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom