This is what am talking about... Yeeeeeaaaah.... come to me... Nimeshajitokeza kama Kiwi...Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.
Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).
Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm
Wasemehe maana awajui walitendaloooBadala ww um pm unataka tena aku pm! Wanaume wengine sijui wapoje sijui domo zenge la daraja

Mie niko serious natafuta mwanamke wa kuzaa naye... Ukikubali nitakuhudumia kila kitu na mtoto nitalea vile vile... Sijaamua kuishi na mwanamke kwa sasa but ninahitaji kupata mtoto maana na mie umri ushanitupa mkono...Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.
Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).
Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm
Pole na kuumizwa kwasababu kila binadam ana kipimo cha majarbu katk dunia hii jitahid kuvuka ayooo kwani mbele itakua furaha kwakoo maumivu n yetu tangu kipnd Adam na hawa walipo hasi jitahd na utampata akupendaye,kwa dhat kabisa mbona Sarah alizaa mtoto wake akiwa mzee wa kutoweza beba mimbaaa ni ushauri samahni kama nitakua nimekukwazaTafadhali Mkuu Nakuomba Ni PM Haraka Sana
Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.
Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).
Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm
Unauza nini?Mi nauza , kama upo serious ni pm tuongee biashara
maskin wanawake wa dar. njoo uhemee sperm huku mikoani!!!wangekuwepo nisingekuja hapa mkuu
wee yawezekana lugha hio ilikupita pemben. s.mother ni mwanake anayejilelea watoto peke yake(siyo widow).single mother ndo nini? kuna double mother?
ukipata uniambie dear na mimi nataka financial donor
thubutu...eti hubeba ya mama. kumbe genetics bado ni janga la kitaifa!!!!Degree zangu zatosha na mtoto hubeba akili ya mama so baba hata akiwa la saba kwangu its ok
Wanaume Wa DarHapa ndo napo washangaaga wanaume wenzangu ata mtu humjui unataka kuwasiliana naye acheni udomo zega lililochanganywa na mfinyanzi
HahahahahahaHakuna wanaume Dar??
Kwa Mawazo yako tu huna Upendo unataka Mtoto tu....Kama kuowa hamtaki, mnataka tufanyaje sasa? Bora nizae mapenzi nihamishie kwa mwanangu
Kila tatizo liko Dar.DSM mkuu
single mother ndo nini? kuna double mother?
ukipata uniambie dear na mimi nataka financial donor
Umeumia kwa sababu yu seem to be too selective and arrogant, pole unaweza chepuka na jamaa wa aina unayoitaka mwambie atumie Condom na uibe mbegu akimaliza mchezo na kasha weka mbele ya banana zitakupa mimba. Ila kwa sasa mwanaume hatokuwa tayari kuzaa motto amwache labda mwenye njaa ya maishaNimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.