Natafuta Shamba

Natafuta Shamba

I see, asante Malila, nitafika pande hizo karibuni nipe contacts za hao watendaji au pm kama unaona watasumbuliwa. Maeneo ya vyuo ni muhimu huduma hazikosekani na pia biashara zinalipa. Barikiwa sana
Kuzunguka eneo la IFM kuna barabara tatu kubwa. Barabara ya Tanga, pembeni kote kumejaa, labda umng`oe mtu, hapo andaa kama 5m kwenda juu ili upate barabarani, line ya nyuma ni chuo. Barabara ya Bagamoyo kuanzia Msata mpaka Kiwangwa imejaa kabisa, ila waweza kumng`oa mtu, opposite na chuo kabisa eka moja line ya pili inacheza 2m kwenda juu. Line ya kwanza mafisadi walishagawana zamani.

Kuna barabara ya upande wa Machweo, inaingia Madesa na Mkoko, kwa mara ya mwisho eka iliuzwa 1m ya usoni na chuo, line ya pili ilitembea kwa laki tano. Upande wa nyuma wa chuo, huko hata laki tano unapata eka moja, shida miundo mbinu kama maji na umeme. Mashamba yaliyo nje ya eneo la chuo tunanunua kwa laki tatu.

Njia ya Bagamoyo, maji na umeme wameweka, njia ya Madesa maji yapo bado umeme.

Kama unaweza kwa bei hizi sema nikupe simu ya katibu wa kamati ya ardhi ya kijiji. Wakati wa kununua kamati nzima inafika shamba na unazunguka nao, kila mmoja analipwa 30,000/ kisha kwa pamoja wanasaini. VEO anapelekewa document na ten percent. Hakuna longo longo.
 
Ahsante sana mkuu kwa hii taarifa,mimi sio mwenyeji sana huko ila naomba unishauri kitu kimoja japo najua nahitajika kwenda kuona eneo husika,mimi nia na dhumuni ni kupata eneo karibu na chuo kwa ajili ya biashara in future,hilo eneo la usoni na chuo ambapo ekari ni 1M kwa mtazamo wako litafaa kwa hili dhumuni langu?

Linafaa,
Hata mimi nimechukua upande huo huo wa machweo ya jua. Hata staff wa IFM walikuwa wanatafuta eka 200 upande ule ule kwa ajili ya makazi. Sijui wameishia wapi. Ila sio usoni kwa njia ya kwenda bagamoyo, huko kumejaa kabisa mkuu.
 
I see, asante Malila, nitafika pande hizo karibuni nipe contacts za hao watendaji au pm kama unaona watasumbuliwa. Maeneo ya vyuo ni muhimu huduma hazikosekani na pia biashara zinalipa. Barikiwa sana

Angalia ktk inbox yako, nimekupa simu ya dada yangu, wewe mwambie mimi nimekupa. Baada ya kufika kule ndio utaamua kama ununue au la.
 
Linafaa,
Hata mimi nimechukua upande huo huo wa machweo ya jua. Hata staff wa IFM walikuwa wanatafuta eka 200 upande ule ule kwa ajili ya makazi. Sijui wameishia wapi. Ila sio usoni kwa njia ya kwenda bagamoyo, huko kumejaa kabisa mkuu.

Mungu akubariki sana,nimeku PM kwa msaada wako zaidi.
 
Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kifuru, Dar es Salaam na Kisarawe.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr
Viwanja vipo katika maeneo yanayofaa kujenga nyumba za biashara au za kifamilia.
Bei ni makubaliano baada ya mazungumzo na mwenye kiwanja juu ya ukubwa wa eneo unalohitaji. Andaa tu michuzi ununue kulingana na mahitaji yako.
Mwananchi, au mtanzania yeyote anayehitaji habari au taarifa kuhusu viwanja hivyo asisite kuuliza au kutembelea maeneo hayo kwa uhuru kabisa.
Ndugu Oswald Richard SH. wa Dar, Tanzania
 
Wakuu natafuta shamba la kununua lenye ukubwa usiopungua hekari 30, kwa ajili ya project yangu ya kilimo mwaka ujao ninayotegemea kuifanya nje kidogo ya jiji la Dar es Salam, shamba hilo naomba liwe na sifa zifuataazo:

  1. Liwe na ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo hususani mahindi
  2. Liwe eneo lenye water-table iliyo karibu, eneo ambalo nikichimmba kisima cha ku-drill nitapata uhakika wa maji kuanzia lita 5,000 kwa siku, na iwe ni kwa mwaka mzima.
  3. Liwe pembezoni mwa mji lakini umbali usizidi km 50 kutoka Dar es Salaam.
  4. Liwe linafikika kwa urahisi kwa gari kwa ajili ya kusafirisha mazao yangu kutoka shambani
  5. Uwepo wa umeme japo si muhimu sana

Kwa mwenye kuwa nalo au yeyote mwenye kuuza naomba tuwasiliane hapa au kwa PM hususani kwa mambo kama bei, vibali na location.

Natanguliza shukrani

vipi shamba umeisha pata?? kama bado nipigie namba hizo 0755371297 na 0714753579 tuongee
 
Mkuu nimefuatilia hii kitu imenistusha sana aiseee

Hekari moja ya ardhi inaweza kulisha ng'ombe zaidi ya 500 wa maziwa kila siku kwa mwaka mzima(non stop daily).
Nimeshangaa sana aisee,hii technology imeshafika mpaka Kenya na wako tayari kuoa training kwa mtu yeyote kwa gharama ya Ksh 1500 around Tsh 30,000 na wako tayari kukupeleka mpaka site ukafanya kwa vitendo.

Ni teknolojia simplena nafuu sana hasa kwenye maeneo ya maji na uhaba wa ardhi aisee

Bado nafuatilia, nimejaribu kuwasiliana nao kwa email nafikiri watanijibu soon, ili nipate details nyingi zaidi

Ila naona hii kitu inawezekana sana hasa hapa Bongo.

Nikipata details zote na training yao ntamwaga hapa jamvini data zote ili kila mtu afaidike

Shukrani sana kwa moyo wako mkuu hasa kwa kunipigisha hatua katika ndoto yangu ya kumiliki kiwanda cha maziwa soon.

Mkuu tunaomba mrejesho/feedback kuhusu hii issue
 
Tuna shamba Kinyerezi. Huenda likakufaa.
Tuwasiliane kwa simu namba 0784342632.
Siku njema
 
Mashamba yanauzwa Kisarawe.
Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu baadaye.
Wasiliana na Oswald kwa simu namba 0784342634 au 0767342632
Au E-mail : cosiastore@yahoo.fr
 
muuliize Chimbuvu atakusaidia kuhusu hayo mashamba unayohitaji

Wakuu natafuta shamba la kununua lenye ukubwa usiopungua hekari 30, kwa ajili ya project yangu ya kilimo mwaka ujao ninayotegemea kuifanya nje kidogo ya jiji la Dar es Salam, shamba hilo naomba liwe na sifa zifuataazo:

  1. Liwe na ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo hususani mahindi
  2. Liwe eneo lenye water-table iliyo karibu, eneo ambalo nikichimmba kisima cha ku-drill nitapata uhakika wa maji kuanzia lita 5,000 kwa siku, na iwe ni kwa mwaka mzima.
  3. Liwe pembezoni mwa mji lakini umbali usizidi km 50 kutoka Dar es Salaam.
  4. Liwe linafikika kwa urahisi kwa gari kwa ajili ya kusafirisha mazao yangu kutoka shambani
  5. Uwepo wa umeme japo si muhimu sana

Kwa mwenye kuwa nalo au yeyote mwenye kuuza naomba tuwasiliane hapa au kwa PM hususani kwa mambo kama bei, vibali na location.

Natanguliza shukrani
 
Last edited by a moderator:
Kk malila nami nahitaji eneo huko miono naomba msaada wko bei na usalama ni pm plz
 
Kutokea mbezi mwisho kuna njia? ni umbali gani? Kuna watu wamejenga au bado mapori?
Mashamba yanauzwa Kisarawe.
Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu baadaye.
Wasiliana na Oswald kwa simu namba 0784342634 au 0767342632
Au E-mail : cosiastore@yahoo.fr
 
Wakuu natafuta shamba la kununua lenye ukubwa usiopungua hekari 30, kwa ajili ya project yangu ya kilimo mwaka ujao ninayotegemea kuifanya nje kidogo ya jiji la Dar es Salam, shamba hilo naomba liwe na sifa zifuataazo:

  1. Liwe na ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo hususani mahindi
  2. Liwe eneo lenye water-table iliyo karibu, eneo ambalo nikichimmba kisima cha ku-drill nitapata uhakika wa maji kuanzia lita 5,000 kwa siku, na iwe ni kwa mwaka mzima.
  3. Liwe pembezoni mwa mji lakini umbali usizidi km 50 kutoka Dar es Salaam.
  4. Liwe linafikika kwa urahisi kwa gari kwa ajili ya kusafirisha mazao yangu kutoka shambani
  5. Uwepo wa umeme japo si muhimu sana

Kwa mwenye kuwa nalo au yeyote mwenye kuuza naomba tuwasiliane hapa au kwa PM hususani kwa mambo kama bei, vibali na location.

Natanguliza shukrani
Shamba lenye sifa zote hizo lipo Kiwangwa km 35 kutoka Bagamoyo (Barabara ya Bagamoyo-Msata),kama uko serious tuwasiliane 0784548641
 
Nilikuwa shamba ndo maana sikuiona hii meseji yako. Nimekupm
Mkuu, Malila

Naomba unisaidie kwa uelewa wako,na mwingine yeyote ambaye ni mwelewa.
Je kuna mbegu za kisasa za maharage au ni kwa mahindi tu na mazao mengine.
Unaonaje hali ya hewa ya mkoa wa Manyara kwa kilimo cha maharage,maana nina wazo la kutafuta mashamba ya kukodi huko Manyara,na nataka msimu ujao nipande nilime maharage yenyewe bila mchanganyiko wa zao lolote lingine,nimeamua nipande maharage kwa vile ni zao la mda mfupi iwapo kutakuwa na upungufu wa mvua.
Je kwa uzoefu wako,hekari moja ya maharage kwenye mavuno unaweza kupata gunia ngapi?
 
Ngoja nikuunganishe na mtalaam wa Soya toleo jipya,ndo anafanyia tafiti sasa.Angalia pm
 
Habari za leo.
Kinyerezi panafaa kama shamba na pia kama kiwanja. Kuna viwanja 14 na kama utachukua vyote unaweza kujenga na kulima au kufuga. Unaweza kutembelea eneo hilo kujionea mwenyewe. Wasiliana na Oswald kwa namba 0767342632 au 0784342632. Nakutakia jumapili njema.
 
Back
Top Bottom