Natafuta Shamba

Natafuta Shamba

Sorry namaanisha eka moja inauzwa kwa laki mbili na nusu hadi laki laki tatu kutegemea na umbali na shamba pia
Asante sana Mama Joe kwa shule yako nzuri, nami pia niko interested sana na huko, nikiwa tayari nitaomba msaada wako. Asante sana
 
Asante sana Mama Joe kwa shule yako nzuri, nami pia niko interested sana na huko, nikiwa tayari nitaomba msaada wako. Asante sana

Vigezo ya mashamba Kwa sasa ni maji kwanza ili kufanya Kilimo wakati Wote je maji hapo yapo Karibu Namanisha kuchimba kisima
 
Wiki hii ntaenda rufiji,ikwiriri huko Kuna maeneo eka1 200,000 mpk 150000.....nkirudi toka huko ntawapa feedback

OVA
 
Mashamba yanauzwa kigamboni kimbiji,
Ekari moja ni mil.5
0683775566
 
Wiki hii ntaenda rufiji,ikwiriri huko Kuna maeneo eka1 200,000 mpk 150000.....nkirudi toka huko ntawapa feedback

OVA
Nakukumbusha kutupa mrejesho mkuu, au bado hujarudi?
 
Kwa anepafahamu vizuri kisarawe naomba kujua ratiba za magurio au minada ya uko.

Pia kama kuna mnada wowote pwani kama ni bagamoyo au mkulanga naomba mnijuze
 
Back
Top Bottom