King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,672
- 68,638
Utapiga kazi?
Nitapiga Mkuu au Kama Mshahara Mbuzi nitamtafutia mtu mwingine.
Utapiga kazi?
Nikushauri mkuu tafuta ndugu yako kijijini aje kukaa hapo. La sivyo majuto yake hautokuja kusahau niulize hadithi yake naijua mimi. Unacheza na moto.
Huo ndio uanaumeNitapiga Mkuu au Kama Mshahara Mbuzi nitamtafutia mtu mwingine.
SUA mnawazuia watu miche ya Parachichi.ukihitaji miche zaidi ya migomba na papai,karibu sana SUA,tukuhudumie.Langu ni hilo tu boss😊
poaSUA mnawazuia watu miche ya Parachichi.
Wanakuja kupanda huku kwenye baridi halafu inakauka yoteeeeee.
WIZI MTUPU.
#YNWA
Mkataba wake umeshausainisha tayari kwa Ofisi za Serikali ya Mtaa wako ili usije ukamdhulumu Ujira wake / hata tu Kumnyanyasa mbeleni huko?Jamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai
Sasa natafuta kijana ambae atakaa shamban na kuangalia mazao yangu na kumwagilia migomba
Hapo shamban nimejenga chumba na sebule ambavyo anaweza kukaa
Huduma za kijamii zipo za kutosha
Kwa yoyote ambaye yuko tayari anipm
Pia yupo johnthebaptist anafaa kwa shamba sana mkuu ebu mchek huyo mzeeKweli kabisa..mwana apate hata hela ya sabuni
Chief share nami mshahara, niko na kijana tayari. Una plan kumlipa bei gani kwa mwezi.Jamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai
Sasa natafuta kijana ambae atakaa shamban na kuangalia mazao yangu na kumwagilia migomba
Hapo shamban nimejenga chumba na sebule ambavyo anaweza kukaa
Huduma za kijamii zipo za kutosha
Kwa yoyote ambaye yuko tayari anipm
Hahahaha unahisi kazi ni nyingi sana mkuu?Mshahara sh ngapi? Maana kulinda shamba na nyumba, kuangalia mazao, kumwagilia migomba, hiyo ni full time job. Usiseme kwa kuwa halipi kodi, bora mtu akulipe kodi na wewe umlipe mshahara wa hizo kazi zote
Hahahaaaa...... Kwani Mbowe siku hizi ana kazi gani?Pia yupo johnthebaptist anafaa kwa shamba sana mkuu ebu mchek huyo mzee
Mkaungane nae msaidiane maana hata wewe huna kazi saiviHahahaaaa...... Kwani Mbowe siku hizi ana kazi gani?
Akatumie uzoefu wa yale mashamba yaliyofyekwa na Ole sabaya atawafaa sana.
CCM fursa kibao!Mkaungane nae msaidiane maana hata wewe huna kazi saivi
Kampeni zimeisha
Mimi nimeshamuelewa vizuri anachomaanisha.Tiririka mkuu nn kiilikukuta?
Chanika ipi iyo boss unapatikanaJamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai