Natafuta shamba boy

Jamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai

Sasa natafuta kijana ambae atakaa shamban na kuangalia mazao yangu na kumwagilia migomba

Hapo shamban nimejenga chumba na sebule ambavyo anaweza kukaa

Huduma za kijamii zipo za kutosha

Kwa yoyote ambaye yuko tayari anipm
Mkataba wake umeshausainisha tayari kwa Ofisi za Serikali ya Mtaa wako ili usije ukamdhulumu Ujira wake / hata tu Kumnyanyasa mbeleni huko?
 
Anza na mishahara. Nikuletee Lisukuma liaminifu Sana. Toka huku Geita
 
Jamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai

Sasa natafuta kijana ambae atakaa shamban na kuangalia mazao yangu na kumwagilia migomba

Hapo shamban nimejenga chumba na sebule ambavyo anaweza kukaa

Huduma za kijamii zipo za kutosha

Kwa yoyote ambaye yuko tayari anipm
Chief share nami mshahara, niko na kijana tayari. Una plan kumlipa bei gani kwa mwezi.
 
Mshahara sh ngapi? Maana kulinda shamba na nyumba, kuangalia mazao, kumwagilia migomba, hiyo ni full time job. Usiseme kwa kuwa halipi kodi, bora mtu akulipe kodi na wewe umlipe mshahara wa hizo kazi zote
Hahahaha unahisi kazi ni nyingi sana mkuu?
 
Hahahaaaa...... Kwani Mbowe siku hizi ana kazi gani?

Akatumie uzoefu wa yale mashamba yaliyofyekwa na Ole sabaya atawafaa sana.
Mkaungane nae msaidiane maana hata wewe huna kazi saivi
Kampeni zimeisha
 
Tiririka mkuu nn kiilikukuta?
Mimi nimeshamuelewa vizuri anachomaanisha.
Amemaanisha ukimuweka mtu ambaye hamfahamiani vizuri na kwa bahati mbaya akawa si muaminifu ipo ukienda utakuta shamba lako limeuzwa na kijana kakimbia.
Utakachokuta labda shamba limefyekwa na aliyenunua ameanza kufanya ujenzi au pengine ameshahamia.
Na kuendesha kesi za ardhi/mashamba ni ngumu sana,mtu akiwa kauzu ana uwezo wa kukugeuka na akasikilizwa kwa kuwa amekaa kwa miaka mingi mahali hapo wewe hujulikani.
Hicho ndicho mdau alichomaanisha kwa hiyo amekupa tahadhari
 
Jamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai

Sasa natafuta kijana ambae atakaa shamban na kuangalia mazao yangu na kumwagilia migomba

Hapo shamban nimejenga chumba na sebule ambavyo anaweza kukaa

Huduma za kijamii zipo za kutosha

Kwa yoyote ambaye yuko tayari anipm
Chanika ipi iyo boss unapatikana
 
Nikushauri mkuu tafuta ndugu yako kijijini aje kukaa hapo. La sivyo majuto yake hautokuja kusahau niulize hadithi yake naijua mimi. Unacheza na moto.

Umemshauri vyema sana, yaliyonikuta daah sitorudia tena kufanya hiki anachotaka kufanya mleta uzi na wala sitakihadithia hapa!
 
Back
Top Bottom