Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume mwenye heshima, maelewano na nia nzuri. Nipo Morogoro, karibu tujuane na tujenge urafiki mzuri. 😊
Kwa sababu hukutaja umri ,,,nimeona nijitokeze,,,mie ni mbabu mbabu hivi,,,halafu kimtindo nishaacha mambo ya kihuni,,,kwa hiyo usitie shaka,,,,,
HAPO VP?
 
kuna mitego mingine haihitaji macho ya rohoni kuijua just macho ya damu na nyama unajua kuna kitu kinatafutwa hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom