Habari zenu wana JF.
Jina langu ni AKHASAINO CYLIVANUS ( ni wa kiume ), naishi bukoba mjini na nina umri wa miaka 28.
Ninatafuta rafiki BUKOBA MJINI, kwa ajili ya mambo yafuatayo.
1. Kushauliana mambo mbalimbali ya maisha.
2. Mawasiliano nikimaanisha, kuchat na maongezi mengine kama hayo.
3...
Habari wanaJF,
Leo nimeamua kuandika uzi huu kwa sababu nimegundua jambo moja kwenye maisha: kuwa na watu wengi sio sawa na kuwa na rafiki wa kweli.
Unaweza kuwa na contacts nyingi kwenye simu, watu wengi unaowafahamu na hata watu unaocheka nao kila siku, lakini inapofika kwenye wakati mgumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.