Aysenem
Senior Member
- Dec 19, 2019
- 140
- 173
Wacha wee
Wacha wee
Weye wasema
Haha usijali ngoja nikusanye ujasiri niwekeNawe unatafuta marafiki mkuu!...weka uzi nije basi
Kisiwani
Mbagala?!Kisiwani
ZanzibarMbagala?!
Hapo sawa maana visiwani zipo nyingi mtu anaweza hisi upo ukereweZanzibar

Goddess kuna muuza ubuyu wa babu Issa nakuletea



jaman anau,ianwapi huyo ili nijue namchukua au nmkataeMsubirie tu atakuja sasahv umpokee😂😂😂jaman anau,ianwapi huyo ili nijue namchukua au nmkatae
Waacha bwanaMsubirie tu atakuja sasahv umpokee![]()
Napenda sana marafiki toka Zanzibar kuna vitu vingi sana nataman kuvijua kuhusu kisiwa hiki cha kuvutia ila tatizo sijawahi kabisa kufika Zanzibar hata kupata rafiki anaetoka hukoZanzibar
Nikutafutie wap?
KushachelewaNapenda sana marafiki toka Zanzibar kuna vitu vingi sana nataman kuvijua kuhusu kisiwa hiki cha kuvutia ila tatizo sijawahi kabisa kufika Zanzibar hata kupata rafiki anaetoka huko
Ooh,poor meKushachelewa
Don't worryOoh,poor me
Okay haikua bahati yangu ila siku ukihitaji niwe rafiki wko nipo usisite kuja PM