Aysenem
Senior Member
- Dec 19, 2019
- 140
- 173
Hao wenye wake mm cwahitaji tena ngoja nieditSasa akiwa yupo na MBEBE WAKE akichat sana na wewe si mapenzi yao yatavurugika?
Hao wenye wake mm cwahitaji tena ngoja nieditSasa akiwa yupo na MBEBE WAKE akichat sana na wewe si mapenzi yao yatavurugika?
Nimeuliza unapatikana mkoa gan?Sifaham kizungu mm
Sawa Mkuu.Hao wenye wake mm cwahitaji tena ngoja niedit
Nimeuliza unapatikana mkoa gan?
MhhHere I am, what are your other two wishes??
Kivipi yani?
Hahahahahhahahha
@Zesh kumbe unanichora tu hadi huku...!!!
But me namu-enjoy tu huyu girl me nakuelewa ww hakiyanani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwapata wengi tupunguziane@Aysenem
😂😂😂 Wala usikonde ntakupunguzia shostUkiwapata wengi tupunguziane@Aysenem
Yani akiona wamemtosha ndo anapunguza waliobakiMmh, unataka kulalia mlango wazi bahati ya mwenzio..
Sawa mahWala usikonde ntakupunguzia shost
Ninae Goddess
Huhuhuhh