Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

kekuwetu; wewe ni jinsia gani? Kama unameet vigezo unayo haki ya kufanya mawasiliano katika njia sahihi niliyotoa. Bila ya shaka utapata wasaha wa kupata majibu ya maswali yako yote.

Juu ya mitazamo yako, una haki ya kuwaza na kutoa maoni unayoyataka. Glass iliyo na maji nusu unaweza kuielezea kwa namna mbili: the glass is: "Half Empty" (Negative) or "Half Full" (Positive). The choice is yours.

bado hujajibu swali langu, wewe umeorodhesha hapa sifa za rafiki wa kike unayemtaka, alafu zako unaeleza nusu nusu, iwaje binti awasiliane na wewe bila kujua sifa zako, mimi ni mshauri tu napita.
 
bado hujajibu swali langu, wewe umeorodhesha hapa sifa za rafiki wa kike unayemtaka, alafu zako unaeleza nusu nusu, iwaje binti awasiliane na wewe bila kujua sifa zako, mimi ni mshauri tu napita.

Silazimiki kujibu swali lako hapa lakini wote wenye nia ya dhati wanapata majibu ya maswali yote. Kama umebahatika kwenda shule na una uwezo wa kuzingatia maelekezo, utagundua kuwa kuna maelekezo rahisi sana katika main post kama ifuatavyo:

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously

Nasikitika kuwa ushauri wako uko nje ya makusudio.
 
Haaaahaaaaa Litty umenichekesha. Ni Wadada gani wenye majina makubwa MMU? AshaDii? Lizzy? Smile? Preta? FirstLady1? etc? Au ni akina nani hao?

Mchaguaji ni mimi bana wasikunyime usingizi . . . lol Masharti na Vigezo kuzingatiwa.

Hao na wengineo. Hapa mie nadhani sitaambulia kitu maana wadada wenye kutafuta wenza pia ni wengi. Bora ungeniona kanisani kuliko humu.
 
Hao na wengineo. Hapa mie nadhani sitaambulia kitu maana wadada wenye kutafuta wenza pia ni wengi. Bora ungeniona kanisani kuliko humu.
Litty riziki popote, haijalishi kama ni kanisani, Msikitini, Harusini, Msibani, Club nk. Ni mapema sana kusema hivyo maana haya si mashindano ya Mamiss, ni suala binafsi linalozingatia hisia, chemistry na namna gani mnaendana.

Hujawahi kusikia kuna Mwanaume Mbaya sana lakini ana mke Mzuri sana au vice versa? mapenzi ni kitu cha ajabu sana. Kizuri kwa fulani, si lazima kiwe kizuri kwa mwingine. Kama kigezo ni uzuri tu, ningeenda kuwasubiri kwenye mashindano ya Mamiss . . . lol

Tuendelee na Mchakato . . .
 
Last edited by a moderator:

Unajua kwa nini nimesema hivyo? Nimepitia nyuzi karibu zote za hivi karibuni zinazozungumzia kutafuta mume/mchumba wa kiume/mpenzi mwanaume ambazo ziko ndani ya love connect nikakuta kote huko umeweka mialiko! Hapo ndio kazi inaniwia ngumu.
 
lol . . . ni kweli Litty, lakini kwani hilo ni tatizo? Hili nalo litapita. Ni upepo tu.
 
nimeshawishika ila mh! Wanaume wa mtandaoni ni noumer!

Pole sana Sabry001; unajua binadamu wanatofautiana sana kwa tabia kwa sababu mbalimbali. Inahitaji hekima na busara kujenga mahusiano ya namna yoyote. Karibu sana.
 
Last edited by a moderator:
Mbona PM yangu hujajibu? ama kwa vile am 52 years old jamani....

Sijaona PM yako mie. Halafu post zako hazionyeshi kuwa you are 52 Mama mwenye nyumba. Hata 35 years hupiti. Ila ni Mama Mwenye nyumba hasa. lol

Hata hivyo kama unakidhi vigezo karibu. Ila kumbuka:

Sometimes what you want isn't always what you get, but in the end what you get is so much better than what you wanted
 
Sijaona PM yako mie. Halafu post zako hazionyeshi kuwa you are 52 Mama mwenye nyumba. Hata 35 years hupiti. Ila ni Mama Mwenye nyumba hasa. lol

Hata hivyo kama unakidhi vigezo karibu. Ila kumbuka:
sikidhi hata kimoja Cool Gentlemen ..nimeshamilikiwa...nitakuwa matron wa watoto kama mambo yatakuwa powah kwako
 
sikidhi hata kimoja Cool Gentlemen ..nimeshamilikiwa...nitakuwa matron wa watoto kama mambo yatakuwa powah kwako

Nashawishika kukubali kwa Location yako ya "Mama Mwenye Nyumba". Usijali kuhusu mengine ni majaliwa.

Je, what you wanted is what what you got now? (Question from your signature). Or is it better than you wanted?
 
Kaka CG hebu tupe uzoefu wako mpaka hapa umepata PM ngapi, na je uliowapata vipi wamemeet expectations zako au wameexceed au wako below ur expectations. nataka na mimi nitafute kwa njiahii ila sasa vigezooo!yani viko kibaaaaooo! JF watanitoa baruuu! hebu mwaga uzoefu kaka CG
 
Nashawishika kukubali kwa Location yako ya "Mama Mwenye Nyumba". Usijali kuhusu mengine ni majaliwa.

Je, what you wanted is what what you got now? (Question from your signature). Or is it better than you wanted?

haha nakunywa Gahawa nikimaliza nitakujibu usifanye nipaliwe mie ..:A S-coffee:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom