Cool Gentleman
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 330
- 235
- Thread starter
- #141
we nungayembe,acha kuingilia mambo ya watu,nenda zako sweken huko ukale supu ya miguu ya kuku.Hapa tunatafuta wake wa kuoa,si unaona bishanga nimepiga chabo?Umesikia @kongosho?
mmmmh kazi ipo, haki ya nani ukiwa serious na mwenzio anatania utakonda unajiona hahahahahahh mbombongafu, kiruuuu
mie kigezo cha umri kimenitoa nje ya mpambano.nimezidi mwaka mmoja.mamajack . . .
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.
Sifa zake:
- Awe na Umri usiopita miaka 40
- Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
- Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
- Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
- Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
- Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
- Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana
Sifa zangu:
- Umri wangu miaka kati ya 45-50
- Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
- Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
- Sina mke
- Nina watoto wawili
Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com
PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
mie kigezo cha umri kimenitoa nje ya mpambano.nimezidi mwaka mmoja.
hapo poa, i wil pm you mda si mrefu.Kama umezidi mwaka moja ina maana una 41. Na mimi nina 45-50 so bado imetulia. Kumbuka 40 na 41 ni kama rungu na bakora. Karibu sana.
Nitumie kwanza picha ndio nitafikiria kuleta application yangu.
hapo poa, i wil pm you mda si mrefu.
Cool unamaneno ya kutia moyo kama kweli.lol.!!!LOL . . . umeona mambo yalivyo mepesi eeh . . . you never know with God Plans.
Duh, post ya kwanza uko uzi huu. Ipo maneno.
Picha si tatizo. Njoo chemba kwanza tuelewane kuhusu vigezo.
Ni maalum kwa uzi huu. Kumbuka Smile alikuambia watu wana ID nyingi humu. Na kwa uzi huu nina hakika zile ID zilizosahaulika kutumika for months zitaibuliwa. Bora mie nimekuja na mpya kabisa. I mean business!
Jamani mbona sielewi? Au unawasema hawa Wadada wa JF ambao mabandiko yao yanaonyesha hawako serious?
Ipo kazi kweli.
Hakika mtihani ukiwa mgumu desa muhimu.ukikosa inabidi uandike hata bongo fleva, ili mradi pepa yako nayo ikasahishwe.hahhahaahha
Hapa ni mwendo wa Mbayuwayu tu . . . lol
Hapa ni mwendo wa Mbayuwayu tu . . . lol