Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Mkuu nitaingia katika mchakato huohuo very soon, please ukishafanya mchujo nitupie kwangu japo wawili. Vigezo vyangu sio vikubwa sana kwangu, hata wa darasa la saba kwangu atanifaa. Nitatoa vigezo vyangu punde.

Haaaa haaaa webondo wadada wa JF wamekusoma . . .
 
Last edited by a moderator:
Lets go back to the topic......

Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:

  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Majibu yangu ni haya,tafadhali nijulishe hapa hapa kama umenitunuku shahada au la!

1. kati ya 25-30
2. Hapa holaaa
3. tabia ni nzuri sana kupitiliza
4. ndoto tu ziko nyingi mpaka za kujengea nyumba hewani
5. mama weeee nimeishia la saba jamaniii(serious) lakini nina biashara yangu ya kuuza karanga ndio inaniweka mjini(am very siriasi)
6. niko tayari kabisaaa....hilo tena si lakuuliza
7. uhusiano tu???hata ndoa niko tayari

NINA WATOTO WATATU!!!! 1 girl & 2 boys.

Sifa zako:- SIHITAJI KUZIJUA!!!!
 
Cool gentleman...Tatizo nina miaka 47 na sina elimu hata ya shule ya msingi, na sipendi kujishughulisha ingawa napenda maendeleo kuyaona
 
we nungayembe,acha kuingilia mambo ya watu,nenda zako sweken huko ukale supu ya miguu ya kuku.Hapa tunatafuta wake wa kuoa,si unaona bishanga nimepiga chabo?Umesikia Kongosho?

Hahahaaaa Bishanga haya tujuze umeopoa nani sasa kwenye uzi wa wenzio,si uanzishe wako!!!!
 
Last edited by a moderator:
mmmmh kazi ipo, haki ya nani ukiwa serious na mwenzio anatania utakonda unajiona hahahahahahh mbombongafu, kiruuuu
 
Lets go back to the topic......

Majibu yangu ni haya,tafadhali nijulishe hapa hapa kama umenitunuku shahada au la!

1. kati ya 25-30
2. Hapa holaaa
3. tabia ni nzuri sana kupitiliza
4. ndoto tu ziko nyingi mpaka za kujengea nyumba hewani
5. mama weeee nimeishia la saba jamaniii(serious) lakini nina biashara yangu ya kuuza karanga ndio inaniweka mjini(am very siriasi)
6. niko tayari kabisaaa....hilo tena si lakuuliza
7. uhusiano tu???hata ndoa niko tayari

NINA WATOTO WATATU!!!! 1 girl & 2 boys.

Sifa zako:- SIHITAJI KUZIJUA!!!!

JF zaidi ya uijuavyo . . .
 
Cool gentleman...Tatizo nina miaka 47 na sina elimu hata ya shule ya msingi, na sipendi kujishughulisha ingawa napenda maendeleo kuyaona

Usijali maana Elimu haina Mwisho na pia mgagaa na upwa hali wali mkavu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom