Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Kaka CG hebu tupe uzoefu wako mpaka hapa umepata PM ngapi, na je uliowapata vipi wamemeet expectations zako au wameexceed au wako below ur expectations. nataka na mimi nitafute kwa njiahii ila sasa vigezooo!yani viko kibaaaaooo! JF watanitoa baruuu! hebu mwaga uzoefu kaka CG

Mambo mazuri hayataki haraka. Ila amini kuwa JF ina wadada makini sana na wenye hekima kuliko unavyodhania. It is amazing. Nakuhakikishia kuwa hata kama Chemistry haitaendana lakini they are worthwhile excellent friends. Ni karata turufu.

I think its a matter of GAGO=Garbage In Garbage Out nikiwa na maana ukiwaheshimu na kuwa makini na mkweli katika mawasiliano nao, na wao pia wanakuwa very open na honest. Ukijifanya wewe mjuaji na wa mjini sana vile vile wanaweza kukupa mbofu mbofu na za usoni.

Hongereni sana Wadada wa JF, nyie ni zaidi ya Jembe. Ni Sululu.

Mchakato unaendelea. maombi bado yanakaribishwa. karibuni sana. We can be good friends you never know.
 
haha nakunywa Gahawa nikimaliza nitakujibu usifanye nipaliwe mie ..:A S-coffee:

Haaaa haaa nimekukuna kipele eeeh, maana jibu ulonipa hapa si ni bora ungetumia nafasi hiyo kujibu. Mmmh, janja ya panya paka kwisa gundua. Iko maneno. Nasubiri jibu! Ukishindwa hapa njoo chemba.
 
MadameX maisha halisi ya maisha is not about umri, it is about quality. Utagundua unapoendelea mbele. Kuna makosa nilifanya huko nyuma na sitafanya tena. Si kila king'aacho ni dhahabu. Kigezo namba 3 ni muhimu na ndicho kinachonifanya niseme siko desparate na ndiyo maana nimezungumzia Urafiki kabla ya Uchumba au Ndoa.

Of course watoto ni wa ndani ya Ndoa ambayo sasa ni mfu. Niko makini.

Hivi hiyo Avatar yako? karibu sana. Dondoo namba 2 ina uzito wake nayo.

UMRI ni kigezo la sivyo fanya modification otherwise utakosa mtu ambaye angekufaa.
 
Hello Moony kwa maoni yangu post yangu kuu imejieleza vizuri sana unless kama hujaielewa.Sijaweza kuandika kila kitu kinachonihusu ndiyo maana kuna njia ya kuwasiliana zaidi kwa walio serious tu. Ni Nadra kuwakuta marafiki wa jinsia tofauti wanalingana miaka.

By the way, ulishafanikiwa kumpata kwenye thread yako? https://www.jamiiforums.com/love-connect/272829-mchumba-anatakiwa.html
 
Last edited by a moderator:
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:

  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:

  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously

Umeainisha sifa unazozitaka vizuri,wasiwasi wangu ni kuwa haitakuwa rahisi kumpata mtu ambae tayari anazo sifa zote,nadhani sifa nyingine atazipata na au anaweza kujifunza atapokuwa na wewe. Just thinking!!
 
Baba V asante kwa maoni yako chanya. Nitayazingatia.
 
Last edited by a moderator:
Mambo mazuri hayataki haraka. Ila amini kuwa JF ina wadada makini sana na wenye hekima kuliko unavyodhania. It is amazing. Nakuhakikishia kuwa hata kama Chemistry haitaendana lakini they are worthwhile excellent friends. Ni karata turufu.

I think its a matter of GAGO=Garbage In Garbage Out nikiwa na maana ukiwaheshimu na kuwa makini na mkweli katika mawasiliano nao, na wao pia wanakuwa very open na honest. Ukijifanya wewe mjuaji na wa mjini sana vile vile wanaweza kukupa mbofu mbofu na za usoni.

Hongereni sana Wadada wa JF, nyie ni zaidi ya Jembe. Ni Sululu.

Mchakato unaendelea. maombi bado yanakaribishwa. karibuni sana. We can be good friends you never know.

Nimekudondokea ghafla wallaih.......we can be friends though i failed to reach your expectations mkuu Cool Gentleman LOL
 
Last edited by a moderator:
Nimekudondokea ghafla wallaih.......we can be friends though i failed to reach your expectations mkuu Cool Gentleman LOL
Yummy karibu sana. Yes we can always be good friends. But how do you know that you have failed to meet my expectation? Acha hizo bana . . . lol
 
Last edited by a moderator:
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:

  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:

  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously

bwana mkubwa, umeloba step, umewafyatua watoto wa watu sasa unataka vya wenzako? ulipokuwa na miaka 25 ulibong'oa wanawake wetuu hadi leo una hizo sifa ulizosema kweli, nadhani sifa ulizotoa haziendani na umri..hembu toa sifa zako za kweli. unazo zitoe.. unataka aje mtoto wa watu umpige kimoja akae akisubiri upige starter kesho yake..na myaka yako yote ulishindwa kumpata wa ukweli wewe mwenyewe?

swali langu, kama umeshindwa kuchagua kundi kubwa ulilo$%T5h%$ nalo je humu jf si utatuchufua bure?
 
Fujo wapo Cool G. kuna mwanamke hapendi kujaliwa?

mie nijali tu utakuwa umeniloga. kwel tena. naomba nijali tuone. teh teh

Haaaa haaaa, nikikujali kwenye Kadamnasi nitaharibu mchakato. Tuma maombi huku chemba uingie katika mchakato. Huwezi jua unaweza kuwa The Number One, Hapo ndipo kujaliwa, kudekezwa na kupendwa kuliko kipimo kunafuata.

Ni exclusive right . . .
 
udenda umenitoka. naku pm fasta. mwaaaaaah.
 
bwana mkubwa, umeloba step, umewafyatua watoto wa watu sasa unataka vya wenzako? ulipokuwa na miaka 25 ulibong'oa wanawake wetuu hadi leo una hizo sifa ulizosema kweli, nadhani sifa ulizotoa haziendani na umri..hembu toa sifa zako za kweli. unazo zitoe.. unataka aje mtoto wa watu umpige kimoja akae akisubiri upige starter kesho yake..na myaka yako yote ulishindwa kumpata wa ukweli wewe mwenyewe?

swali langu, kama umeshindwa kuchagua kundi kubwa ulilo$%T5h%$ nalo je humu jf si utatuchufua bure?

Mkuu, unayakumbuka yako ya hapa? https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/276380-naomba-msasda;-ndoa-inanimaliza.html. Unataka na mimi niyaweke hadharani?

Uliyamalizaje? Nadhani mengine yote uliyoyaongea ni maoni yako ambayo si vibaya. Nadhani kama kuna yeyote ana nia ya kweli anaweza kupata details zaidi kwa njia mwafaka.

Kumbuka sifa upendazo wewe ni tofauti na za mwingine.

By the way mchakato unaendelea vizuri tu wala hauna matatizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom