Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

kaka usikate tamaa utapata tuuuuu
sally21 nimekusoma. Naona na wewe umetinga JF jana.

Vipi umeshaanza kupata maombi kufuatia thread zako mbili? nashauri uweke details kama nilizoweka mimi. Siyo siri nimepata applications nyingi sana.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli rafiki, hatua uliyofikia inahitaji maombi zaidi. Nitakuweka katika maombi.

Nashukuru ingawa kuna wadau mwanzoni walinibeza na kunikatisha tamaa lakini nilipofikia si haba. Applications zaidi ya 50 ambazo ziko serious si haba. Zaidi ya 15 zilizotimiza vigezo vikamilifu. Zaidi ya 5 zenye sifa za ziada na mbili ambazo ni extra ordinary. Si haba.
 
I wish you all the best rafiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom