Cool Gentleman
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 330
- 235
- Thread starter
- #201
udenda umenitoka. naku pm fasta. mwaaaaaah.
Acha fujo . . . lol
udenda umenitoka. naku pm fasta. mwaaaaaah.
Acha fujo . . . lol
teh teh teh. hapa nishaona sina langu. mara ya pili unasema nina fujo.
ww si umesema ni pm? au ulitaka ni pm taratibu? teh teh teh
LOL . . . PM si unakuja chemba bana? We shusha mistari unaendana vipi na vigezo tajwa? Au unataka umwage mtama hadharani?
sasa kwanini ulsema niache fujo? ukanifanya niahirishe.. ofcoz ungenidekeza
hadharani ndio ningejua ni chosen. wote wamaokumemdea wataachia ngaz. nabak mm tu.
Halafu ukishinda unaonekana utanikeep sana busy wewe . . . lol . . .. We mtundu eeh? Nilisema acha fujo ili nijue kama uko serious au la . . . sasa tuma maombi. Kudekezwa ni pale utakapokuwa mshindi tu? Yaani hudekezwi kwa maneno ni vitendo.
Yummy ulinijibu hivi:Si nilikupa majibu yangu ukayapotezea.....
Majibu yangu ni haya,tafadhali nijulishe hapa hapa kama umenitunuku shahada au la!
1. kati ya 25-30
2. Hapa holaaa
3. tabia ni nzuri sana kupitiliza
4. ndoto tu ziko nyingi mpaka za kujengea nyumba hewani
5. mama weeee nimeishia la saba jamaniii(serious) lakini nina biashara yangu ya kuuza karanga ndio inaniweka mjini(am very siriasi)
6. niko tayari kabisaaa....hilo tena si lakuuliza
7. uhusiano tu???hata ndoa niko tayari
NINA WATOTO WATATU!!!! 1 girl & 2 boys.
Sifa zako:- SIHITAJI KUZIJUA!!!!
teh teh teh. nime pm, nimeona iwe tofauti na za wote. nime attach na picha,
huwez uziwa mbuz kwenye gunia. nimekupa na a/c ya kutumia tujirushe web cam.
nasubir siku utatangaza mshindi. ciao. mwaaaah.
Sijaona PM wala email. Hata hivyo asante kwa kuchangamsha uzi.
Cool Gentleman jua tu kuwa nimekujua. teh teh teh. nishakuchum nabakisha ya kesho.
Khaaaa! Umenijua? . . . lol . . . haya Mkuu.
teh teh teh. umekuwa mpoleeeeee. haya endelea na mchakato.
chuz the best kwa kudekezwa mkuu. usisahau, shurti sauti iwe inajua kedeka:A S shade:
Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
Yummy ulinijibu hivi:
Kwa kuwa majibu yako hayakuonyesha kama uko serious na mimi nikakujibu: "JF zaidi ya uijuavyo".
Baada ya hapo uliniambie nidelete ile Avatar ya "Mguu", nika-comply.
Nadhani kama uko serious, tuonane chemba, siwezi kutoa majibu hadharani maana ni mchakato.
Umeona eeeh . . . masharti na vigezo kuzingatiwa . . . hasa kigezo hiki . . .
Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
Hahahaaa haya bana ngoja nije chemba fasta kabla bahati yangu haijawahiwa:-*
Mapigo ya moyo yanaenda mbio wallaih daaah
Hello Moony kwa maoni yangu post yangu kuu imejieleza vizuri sana unless kama hujaielewa.Sijaweza kuandika kila kitu kinachonihusu ndiyo maana kuna njia ya kuwasiliana zaidi kwa walio serious tu. Ni Nadra kuwakuta marafiki wa jinsia tofauti wanalingana miaka.
By the way, ulishafanikiwa kumpata kwenye thread yako? https://www.jamiiforums.com/love-connect/272829-mchumba-anatakiwa.html