kekuwetu; wewe ni jinsia gani? Kama unameet vigezo unayo haki ya kufanya mawasiliano katika njia sahihi niliyotoa. Bila ya shaka utapata wasaha wa kupata majibu ya maswali yako yote.hizo sifa za no. 3,4 wewe unazo? au unataka tu mwenzako awe nazo kumbe wewe huna hata moja? unajua wanaume wengi wa kitz wanapenda mabinti waliojiheshimu hata kama wao ni mapepe? then unamaanisha nini sifa no. 7? ndoa au kuzini kwa muda mrefu? mbona hakuna malengo hapo. mafanikio mema kaka.
strong lady . . . . . . .
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.
Sifa zake:
- Awe na Umri usiopita miaka 40
- Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
- Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
- Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
- Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
- Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
- Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana
Sifa zangu:
- Umri wangu miaka kati ya 45-50
- Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
- Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
- Sina mke
- Nina watoto wawili
Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com
PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
jamani mtoto mzuri aje kwangu swager cna vgezo vya kumfanya mwanamke asiwe huru
amefanyaje?
Swager na mimi naweka msisitizo kabisa wapitie na thread zako zoote:jamani mtoto mzuri aje kwangu swager cna vgezo vya kumfanya mwanamke asiwe huru
Abeee Cool Gentleman....hivo vigezo vyako ni utata hadi nashindwa kuapply he he he
Pia nawaogopa drama za baby mama wako
Cool Gentleman usahili bado unaendelea au umeshaopoa?Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.