Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

cool G, hafu wee unahatari, ujue watu watajipodoa hafu unaokota mdosho, ka nakuona lol, ila kwa hilo la maombi umepindua kichwa ya shetani nyuma. Aka shetani kashindwa
 
umejichongea ujue? teh teh teh.

inakuwaje sina acces 2 my sreds. au umekosea link? :thinking:

Haaaa haaaa neda kwenye Profile yako angalia under "Started Threads". Nishakupiga ushushu kulee. Chezea CG FBI wewe
 
cool G, hafu wee unahatari, ujue watu watajipodoa hafu unaokota mdosho, ka nakuona lol, ila kwa hilo la maombi umepindua kichwa ya shetani nyuma. Aka shetani kashindwa

lol . . sibabaishwi na sura, napenda tabia njema. Ndo maana faili la MadameX nimelitia moto maana too much costmetics hadi ngozi haionekani . . .

Shetani abaki nyuma mi nakwenda na Mungu . . .
 
Last edited by a moderator:
NAOMBA KUSAIDIWA KUNA UMRI WA
....Kati ya miaka 45 - 50 hahaha !!
be specific of your age.

Median Mkuu. Mbinu za medani si vema kuweka kete zote hadharani. Waliokuwa serious na kuwasiliana they know my age. So si issue sana.
 
sabb sataki kukufunga siendi mbali. wacha nifanye nimekubali tu. teh teh.

Haaaa haaa ile ni Public Profile bana siwezi kula Ban. Mi si natafuta rafiki wa kumjali jamani? Ama? Ila unaonekana unatabia ya kujishusha. So katika nyumba hakutakuwa na mabeef ya kufa mtu.
 
hahhhahhahaha hivi unakubali chagulaga kama mf mswati haki ya nani ukiona gemu ni ya kushindanishwa bora ujitoe loooh. Utamu wa nanasi mchuzi, bora ukudondokee ulambe. lol
 
hahhhahhahaha hivi unakubali chagulaga kama mf mswati haki ya nani ukiona gemu ni ya kushindanishwa bora ujitoe loooh. Utamu wa nanasi mchuzi, bora ukudondokee ulambe. lol
Lady G, King Mswati II yeye anachagua totos akiangalia the chuchus na ze suraz na ze shapes. Ndo maana totozi zinakuwa na maliasili zote nje nje. Mimi hata kama titis zimelala aka malapa lakini uko vizuri + tabia bado tutaendana. So huu ni mchakato. Na umekosea, kulila nanasi kwataka nafasi na nafasi ya kuchagua ndo hii. Mchakato . . .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom