Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Cool Gentleman , acha mambo ya kuwa na ID mbili mbili bwana. Duuh kumbe na wewe pia si mkweli, huyu Mayasa ninae almost two months na wewe unaonyesha umejoin 10/06/2012, kivipi, hebu ninong'oneze ile ID yako nyengine hakuna mtu anayesikia, Erotica, kwasasa anachapa maji!
MadameX acha kunisingizia bana. Hujui haya ni mambo ya Teknoloji? Kwenye Profile yako bado una Avatari ya zamani. Au hii si yako?

[h=1]MadameX
user-online.png

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]

profilepic20588_1.gif

Chezea CG wewe? Mi FBI bana.​
 
Last edited by a moderator:
Cool Gentleman , acha mambo ya kuwa na ID mbili mbili bwana. Duuh kumbe na wewe pia si mkweli, huyu Mayasa ninae almost two months na wewe unaonyesha umejoin 10/06/2012, kivipi, hebu ninong'oneze ile ID yako nyengine hakuna mtu anayesikia, Erotica, kwasasa anachapa maji!

Usichunguze sana ndugu yangu vaa goggles uzamie tu, utakuwa single forever!

Afu wewe unamsema vibaya Erotica kuwa anachapa maji kuwa anachapa maji. Au hujui maana ya Erotica wewe?

Erotica - Wikipedia, the free encyclopedia

Erotica (from the Greek "desire") are works of art, including literature, photography, film, sculpture and painting, that deal substantively with erotically stimulating or sexually arousing descriptions. The term is a modern word that describes the portrayal of the human anatomy and sexuality with high-art aspirations, differentiating such work from commercial pornography.

Nikivaa googles na kuzamia tu, yatakuwa yale yale. Ukiumwa na nyoka ukiona kamba unashtuka ati . .
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh cool G. siku nikikutia machoni utaona hisia zangu. Hafu nyie mkipata wanaowapenda mnaleta pozi, mkipata wanaowatenda ndo mnaanza kutoa mimacho lol. Hahah
Lady G, hili nalo neno . . . lol . . . kwa hiyo ndo unashauri nini?
 
Last edited by a moderator:
Lady G, hili nalo neno . . . lol . . . kwa hiyo ndo unashauri nini?

hahhahaha kaaazi ni kwakoooo.........maisha ya sasa pata akupendae umpendae miguu, Sura, macho, kiuno, bongisa yote matokeo. mwanamke tabia babuuuu, sura hata mchina anaweza kukufanya uonekane mzungu ...hahahah u gal me
 
Last edited by a moderator:
hahhahaha kaaazi ni kwakoooo.........maisha ya sasa pata akupendae umpendae miguu, Sura, macho, kiuno, bongisa yote matokeo. mwanamke tabia babuuuu, sura hata mchina anaweza kukufanya uonekane mzungu ...hahahah u gal me

MMh, Lady G umesomkeka Mdada . . . . kwamba vigezo hivi:

Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini

Vitiliwe maanani zaidi . . . . Ipo kazi . . . . mafaili natembea nayo . . . lol
 
Last edited by a moderator:
MMh, Lady G umesomkeka Mdada . . . . kwamba vigezo hivi:

Vitiliwe maanani zaidi . . . . Ipo kazi . . . . mafaili natembea nayo . . . lol

hahhhaha babaaaa wala si kazi ukishindwa andika majina wale wa shotlist, fumba macho nyanyua pen juuu shusha chini itakapoangukia nao huyo huyo.......kwa utabili muone shekhe yahaya junior. hihihihi
 
Last edited by a moderator:
hahhhaha babaaaa wala si kazi ukishindwa andika majina wale wa shotlist, fumba macho nyanyua pen juuu shusha chini itakapoangukia nao huyo huyo.......kwa utabili muone shekhe yahaya junior. hihihihi

Khaaaa! We Mdada una hatari weweeee lol. Mi sipigi ramli bana, naangalia vigezo afu nitafunga kwa maombi. Au ni fanye kama "The Bachelor"?
 
Hihihihi lol, usiwe na wivu mie na ww ni majirani tutakuwa tunaonjeana mboga, ukishinda kwenye usaili mie ntakuwa mshauri wako a.k.a best shostito

Ohooooo Lady G yamekuwa hayo tena . . . mi bana sitaki mambo hayo. Kama vipi vipi nasitisha zoezi hili na mafaili yenu nayachoma moto kama la MadameX aliyenipakazia kitaani. Wewe unaanza fujo kama Erotica . . .
 
Last edited by a moderator:
Hihihihi lol, usiwe na wivu mie na ww ni majirani tutakuwa tunaonjeana mboga, ukishinda kwenye usaili mie ntakuwa mshauri wako a.k.a best shostito

mie sina wivu ila tu tufanyiwe usahili sawa. teh teh teh. ila nimekubali hio propozo mamito.
 
mie sina wivu ila tu tufanyiwe usahili sawa. teh teh teh. ila nimekubali hio propozo mamito.

Mimi proposal zenu sitazikubali . . . nitachoma mafaili yenu jamani. Hayo mambo ya UAMSHO sipendi mimi. Ohooo . . . nitahama Kitaaa . . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom