Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Wewe ndo utuamie angalia upande wa kulia wa Avatari yako kwenye details za Join Date, Posts na Likes. Location yako ni wapi?

Afu niaje huyo mtoto uliyembeba? Mbona rangi tofauti na wewe?

aaahh sasa ndo shida ya kufunguliwa hivi itu na akina kakaa waliosoma mie sikujua hahahahsss,,mwanangu ni zeruzeru huoni kwani jamani??
 
Cool Gentleman unanitangaza lini ushindi?
Erotica, by Monday nitakuwa na kitu beneti. Full kujiachia. Shopping ya kwanza Kariakoo. Then Buguruni kwa Macheni. Viatu posta ya zamani. Jioni outing Coco Beach na Teksi. Up hapo. Hapa ndo napiga mahesabu ya kuwomba michango . . . haaaaa haaaaa hadi raha.

Mchakato kwa kweli unaendelea vizuri. Sasa hivi niko kwa maombi Mungu anionyeshe moja kati ya wengi wakali waliojitokeza.

Ila JF we acha tu, kuna Dadaz si mchezo. Watoto wa mjini wanaita Totoz. Utatanishi mtupu.
 
Last edited by a moderator:
Niite nitakusaidia kuhesbu kura
Moony, wamebaki wawili tu. Spain na Italy, so no need ya msaada. Nani ataibuka Kidedea?

Sipokei maombi tena unless huyo anayetuma maombi anajiamini kwa vigezo nilivyotoa na ni Mdada Mzuri wa kuvutia kuliko kawaida.

Hawa Wadada wawili siyo siri wamenichanganya na sifa zao ziko juu sana zaidi ya matarajio yangu. Hapa nilipo ni mwendo wa kuomba tu huku nikijitahidi kufanya mawasiliano ya dhati kabisa. Au nijipe Muda zaidi ya urafiki wa kuwasiliana nao katika nyanja tofauti? Wataalamu nisaidieni hapa vigezo vya mwisho vya ziada kwa watu waliofungana kwa sifa nilizotoa.

Niombeeni.

JF ni zaidi ya uijuavyo. Kuna walibeza zaoezi hili lakini JF ni hazina ya kila kitu si katika siasa tu bali hata katika mahusiano.
 
Mimi nakutakia heri ila tu fanya maombi ya dhati na kufunga siku tatu halafu utapata jibu, wako utamjua tu kati ya hao wawili.
Good luck man!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom