Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 204
Kila la kheri bana nakushauri utume hyo na mitandao mingine ya kijamii kama fb kuna magumegume ya kutosha kule.
mlimzodoa dadangu ati ni mzee lakini hajakata tamaa at 55 mi namwona bomba unaweza dhani yuko 35
Kila la kheri bana nakushauri utume hyo na mitandao mingine ya kijamii kama fb kuna magumegume ya kutosha kule.
mwaJ . . . .
Umeona eeeh . . . masharti na vigezo kuzingatiwa . . . hasa kigezo hiki . . .
Labeka Cool Gentleman asubuhi nilitumia kitochi cha mchina sikuona wito. Vipi maombi yamekuwa mengi sana nije nikusaidie kuchambua CV na kufanya shortlisting?
asbuhi nilikupa kimtihani kidogo tu ukafeli. sijuia kama hivo vigezo hapo juu vitatimizwa. teh teh.
Hakuna mtihani ulinipa nikafeli. Asubuhi ulikuwa unafurahisha jamvi tu ila hukuwa serios, So fear mchakato unaendelea vema kwa kuzingatia vigezo husika.
Erotica bado tu mnapagawisha Cool Gentleman, maana mzee halali online at odd hours, kweli anania na hili jambo!
CNN bado mpo, hamlali
Cool Gentleman, kwa nini unanifanyia hivo? umeona mie wa kufurahisha jamvi? :thinking:
MadameX umeona eeh . . . . watu tuko kazini kama CNN afu yeye hawi serious . . . na mimi nasubiri kupata bingo hapaErotica bado tu mnapagawisha Cool Gentleman, maana mzee halali online at odd hours, kweli anania na hili jambo!
Erotica Kigezo cha uchangamfu na kuhakikisha mwenzi wako ana furaha wakati wote, mpaka sasa unaongoza . . . . lol . . .MadameX bahati mbaya wanaompagawisha ni wengine.
eti mie nina fujo na nafurahisha jamvi anaitumia kama kivuli hali hanitaki.
MadameX umeona eeh . . . . watu tuko kazini kama CNN afu yeye hawi serious . . . na mimi nasubiri kupata bingo hapa
Usipokuwa makini unaweza kupata Kitomondo . . . . Afu na wewe faili lako bado natembea nalo . . .
Waswahili wakwambia ukimchunguza sana bata huwezi mla. So keep that way
MadameX ni kweli. Lakini sasa hivi nisipofanya uchunguzi si naweza kupata Kitomondo aka Gumegume? Afu naimiss sana ile avatar yako ya enzi . . . teh tee teeh . . . hii ya Mayasa haikufai kabisa.