Cool Gentleman
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 330
- 235
- Thread starter
- #301
.to be honest nina kibabu tayari, hakina meno ila ndio kinaniweka mjini...sasa na wewe niambie kama pochi yako kubwa nikufikirie....:wink2::wink2::embarrassed:
Wrong Number Mdada . . . kuna kigezo hiki:
Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
Kila la heri na Kibabu chako kama bado kinazo. Maana najua kikishakuwa Olosto utakitema tu. Dunia haina wema sometimes. U know?