Natafuta rafiki wa kike, mengine tutayajenga

Natafuta rafiki wa kike, mengine tutayajenga

KWEMA WANAJUKWAA.

Naamini JamiiForums kuna genuine ladies wasio na mambo mengi, watulivu, wasikivu, wacheshi, wenye urafiki wa kweli.

Ningependa ujitokeze unaewiwa kutaka tuwe marafiki, umri ni miaka 20 hadi 29. Mkazi wa popote nchini, elimu yoyote, kazi yoyote halali.

Natanguliza shukrani kwenu, nitafurahi kupata marafiki.
Ahsante!
MIe hapa ila urafiki tu ila usinitoe sadaka nategemewa na Tate Mkuu nani atampikia sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom