kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Marry anapenda vijana masikini kumbe duh! Pole yake☺️Umechelewa sana kulijua hili, Marry ni mpenzi wangu na mke wangu mtarajiwa.
Marry anapenda vijana masikini kumbe duh! Pole yake☺️Umechelewa sana kulijua hili, Marry ni mpenzi wangu na mke wangu mtarajiwa.
Palipo na amani ndio upendo hunawiri, acha naye apambanie 😁🦅Na huu uzi ukiwa trend tu jua umeisha 😂
Bila kuchoka 😂Palipo na amani ndio upendo hunawiri, acha naye apambanie 😁🦅
Huyo brother wangu wa ukweli, hapa anawalisha upepo tu.Bila kupoteza muda tafadhali mzingatie kwa makini Rais wetu, hana baya kabisa.
Hey, lil' shorty, say you care for meHuyo brother wangu wa ukweli, hapa anawalisha upepo tu
Sasa mbona ni kuchanganyana hapa eti Rais Intelligent businessman wewe ni kaka yake?Huyo brother wangu wa ukweli, hapa anawalisha upepo tu.
Pyaar huu ndo ukaka wenyewe?Hey, lil' shorty, say you care for me
You know I care for you, you know that I'll be true
You know that I won't lie, you know that I will try,
To be your everything
Nasikitika sana, ndio maana niki sema pm zangu hazi jibiwi muwe mna elewaSasa mbona ni kuchanganyana hapa eti Rais Intelligent businessman wewe ni kaka yake?
Hebu niache mie.Hey, lil' shorty, say you care for me
You know I care for you, you know that I'll be true
You know that I won't lie, you know that I will try,
To be your everything
Ngoja tukabie kwa juu, huyu mpaka aingie ikulu mkuu.Nasikitika sana, ndio maana niki sema pm zangu hazi jibiwi muwe mna elewa
High pressing 😂Nimeamini kwani huna vigezo vya kuwa na rais!!
Kusema anapenda vijana masikini ni kumkosea adabu.Marry anapenda vijana masikini kumbe duh! Pole yake☺️
Loh! Hongera yakoKusema anapenda vijana masikini ni kumkosea adabu.
Ananipenda mimi Kijana Masikini.
AsanteLoh! Hongera yako
Karibu Kijana MasikiniAsante
Karibu nini?Karibu Kijana Masikini
Si dipresheni🤣Nmefanyaje dipre?
Basi humpendi best yakoNitemwe na nani, mimi sina mtu huku mbona😎