Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Nimeyaelewa hayo maneno mawili ya mwisho tu "me siwezi" huko kwengine kote umeandika pumba ulitakiwa ujisemee nafsi yako wewe kwamba hauwezi ila siyo kulazimisha kila mwanaume awe kama wewe na kila kitu kiwe kama unavyoamini binafsi mimi mwanaume ambaye ataweza hivyo ndo nitamheshimu sanaaaaa maana atakuwa ameweza kukizuia kile kitu ambacho ndicho udhaifu wa wanaume wengi hivyo atakuwa amekwepa udhaifu

Halafu unasema tu kwani wakifanya kuna ubaya gani? Haujui kwamba bongo mwanamke anayefanya na mwanaume yeyote anaonekana malaya ila mwanaume anayefanya na mwanamke yeyote anaonekana kidume? Sasa nani anataka kuonekana malaya? Siku mkiacha hiyo mitazamo ndo mtaona jinsi wanawake watakavyokuwa wanajiachia don't blame it on us blame it on your traditions
Madam uzi huu umeutawala wewe tu! Halafu mbishii!

Kwa mfano uwe na sura ya avatar yako, mzuri kama malaika, uje umzurulishe mwanaume kwenye usafiri, mahoteli, sijui kutalii, anakuwa zoba tu kakuangalia na wala haumii, domozege wa kutupwa kakuangalia tu kama dadake wa tumbo1!

Tuache masihara, kwanza utamdharau na kuanza kumshukushuku.

Hapo lazima kuwe na maswali ya msingi: mnaleana ili iweje? Mkifanya kuna ubaya gani? Msipofanya nini faida yake na nini hasara yake, etc etc. Sasa yote hayo ya nini?

Kiunganishi kikubwa cha mwanamke na mwanaume wawapo pa1 ni mapenzi na siyo siasa.

Tena hapo unauona upendo wa kweli unaibuka kutoka ulikojificha na kutawala.

Hivi mbuzi na chui wanaweza wakasafirishwa katika cage1 raha mustarehe bila mihemuko ya kutafunana, ulishawahi kuona ama kusikia?
Me siwezi.
 
Nimeyaelewa hayo maneno mawili ya mwisho tu "me siwezi" huko kwengine kote umeandika pumba ulitakiwa ujisemee nafsi yako wewe kwamba hauwezi ila siyo kulazimisha kila mwanaume awe kama wewe na kila kitu kiwe kama unavyoamini binafsi mimi mwanaume ambaye ataweza hivyo ndo nitamheshimu sanaaaaa maana atakuwa ameweza kukizuia kile kitu ambacho ndicho udhaifu wa wanaume wengi hivyo atakuwa amekwepa udhaifu

Halafu unasema tu kwani wakifanya kuna ubaya gani? Haujui kwamba bongo mwanamke anayefanya na mwanaume yeyote anaonekana malaya ila mwanaume anayefanya na mwanamke yeyote anaonekana kidume? Sasa nani anataka kuonekana malaya? Siku mkiacha hiyo mitazamo ndo mtaona jinsi wanawake watakavyokuwa wanajiachia don't blame it on us blame it on your traditions
Madam, lini jaribu la ibilisi binadamu alilishinda, kwani Adam na Hawa walikuwa wajinga?

Kwanza maelezo yako ni ya kinadharia tu, kwenye uhalisia hayapo.

Na hautakuja pata mwanaume wa kumjaribu namna hiyo ili kukudhi utafiti wako, hayupo, labda awe na lengo la kulelewa.

Hapo utampata wa kulala naye hata kila siku bila chochote, maana wanaume sikuhizi tumebadilika na kuwa na makundi, wengine wakiitwa wanaume suruali!
 
Kwani haujaona huo mfano wangu huko juu? Mbona nimeshawahi kufanya hayo na wanaume zaidi ya watatu katika mazingira na vipindi tofauti tena wote marijali na kati yao hakuna aliyenifanya chochote na sasa hivi wameoa na wana watoto na mimi nimeolewa na nina watoto kila mtu na maisha yake ndo maana nikasema usilazimishe kila kitu kiwe kama unavyoamini au unavyotaka wewe

Na kitu kama wewe haukiwezi basi haimaanishi kwamba na wengine wote hawakiwezi kama unavyodhani ila sikulaumu maana hata mimi kabla niliamini kama wewe kwamba wanaume wanapenda na wanawaza ngono muda wote hadi nilipokutana na hao na wala hata haikuwa lengo langu kufanya utafiti ila ilitokea tu sikuamini ila ndo ilitokea nikaja kuamini kwamba wanaume mnatofautiana kama tu wanawake tunavyotofautiana hautaki sikushikii fimbo uamini maana hata ukikataa wewe bado haibadilishi ukweli
 
Kwani tukienda wote ni lazima kugegedana?
Tunaweza kutembea Kama kampani bila hayo mambo
Hiyo ni ziada baada ya kupendezewa
Hapana hata mimi sitaki mwanaume nataka mwanamke mwenzangu maana lengo langu si kugegedana bali ni kutalii
 
Ah wapi wanaume wengi hamuwezi wachache ndo wanaweza na wewe siwezi kukuamini kama unaweza au hauwezi
Kwani tukienda wote ni lazima kugegedana?
Tunaweza kutembea Kama kampani bila hayo mambo
Hiyo ni ziada baada ya kupendezewa
 
Back
Top Bottom