Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Hata siyo lazima niwe mwanaume kwani mifano ni naiona hata kwa wanaume wenzenu wengi tu wanaoweza kuvumilia na ni marijali kabisa?
Yani kama huna mpango wa kumpa tunda mwanaume, usithubutu kulala nae kitanda kimoja kama sio mumeo. Unaweza ukabakwa...
Nadhani utakuwa umeshawahi kusikia swala la ubakwaji katika ndoa... Kuna wanaume huwa eti 'wanawabaka' wake zao... Pia kuna wanaume huwa wanabakwa na wake zao. Ndio mambo haya mnalala pamoja alafu mwenzako hataki kutoa mzigo. So inabidi hadi mtu unatumia nguvu kupata haki yako! Ndio maana mababu zetu walikuwa na vijumba viingi kwenye himaya yao... Kila mke alikuwa na kijumba chake.... Mkikubaliana kuwa leo papuchi inaliwa ndio mzee wa kaya anaenda kulala na bibiye... La sivyo kama hakuna maelewano, babu analala mwenyewe kwenye kijumba chake.
 
Maisha magumu bna ila we live once atii
Mimi bwana sina dhambi nyingi kiivo,sinywi pombe Wala sigegedwi kwaiyo nataka nienjoy maisha kwa kusafiri.
Sasa nataka nianze safari zangu hapa hapa nchini.
Natafuta rafiki wa kusafiri nae cause I want to try new things as well,new ideas,new friends I hope mmenielewa wakuu.
Sasa kama unaona una sifa tuwasiliane.hela ninazo ila uwe na hela. Na usiwe na ndoa sitaki stress mie japo sio kwamba nakuitaji kimapenzi.
Ila jinsia ya kike nayo pia inakaribishwa
Safi sana application yako inaendana na jina lako
 
Cole, hivi kiuhalisia una mitazamo hii hii kama unayoiandika humu?

Ndiyo Niko hivyo Mkuu, it’s pure me

And kila siku najifunza kuona mambo katika angle tofauti tofauti

Mapambano ya kubadilisha fikra za wengi waliotawaliwa na negativity ni magumu lakini tujitahidi hakuna namna [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yani kama huna mpango wa kumpa tunda mwanaume, usithubutu kulala nae kitanda kimoja kama sio mumeo. Unaweza ukabakwa...
Nadhani utakuwa umeshawahi kusikia swala la ubakwaji katika ndoa... Kuna wanaume huwa eti 'wanawabaka' wake zao... Pia kuna wanaume huwa wanabakwa na wake zao. Ndio mambo haya mnalala pamoja alafu mwenzako hataki kutoa mzigo. So inabidi hadi mtu unatumia nguvu kupata haki yako! Ndio maana mababu zetu walikuwa na vijumba viingi kwenye himaya yao... Kila mke alikuwa na kijumba chake.... Mkikubaliana kuwa leo papuchi inaliwa ndio mzee wa kaya anaenda kulala na bibiye... La sivyo kama hakuna maelewano, babu analala mwenyewe kwenye kijumba chake.
Kwani haujaona huo mfano wangu huko juu? Mbona nimeshawahi kufanya hayo na wanaume zaidi ya watatu katika mazingira na vipindi tofauti tena wote marijali na kati yao hakuna aliyenifanya chochote na sasa hivi wameoa na wana watoto na mimi nimeolewa na nina watoto kila mtu na maisha yake ndo maana nikasema usilazimishe kila kitu kiwe kama unavyoamini au unavyotaka wewe

Na kitu kama wewe haukiwezi basi haimaanishi kwamba na wengine wote hawakiwezi kama unavyodhani ila sikulaumu maana hata mimi kabla niliamini kama wewe kwamba wanaume wanapenda na wanawaza ngono muda wote hadi nilipokutana na hao na wala hata haikuwa lengo langu kufanya utafiti ila ilitokea tu sikuamini ila ndo ilitokea nikaja kuamini kwamba wanaume mnatofautiana kama tu wanawake tunavyotofautiana hautaki sikushikii fimbo uamini maana hata ukikataa wewe bado haibadilishi ukweli
Soma huo mfano wangu huko juu
 
Sio kujiendekeza ni NATURE MKUU acha ubishi kama mtu wa kigoma
Kwani wanaume marijali wanaoweza wanawezaje? Usiseme hawapo wapo sana na mimi nimeshawashuhudia
 
Ndiyo Niko hivyo Mkuu, it’s pure me

And kila siku najifunza kuona mambo katika angle tofauti tofauti

Mapambano ya kubadilisha fikra za wengi waliotawaliwa na negativity ni magumu lakini tujitahidi hakuna namna [emoji120][emoji120][emoji120]
Bado kidogo mzee baba pambana[emoji23][emoji23]
 
Hakuna kitu utafurahia kwenye safari kama kutochagua kitu niraha sana kumbe miss wewe ni muhaya natamani nikuonage kweli
 
Back
Top Bottom