Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Nilipie niende na miss natafuta jamaniTwende basi nitalipa mimi
Nilipie niende na miss natafuta jamaniTwende basi nitalipa mimi
Kama ndio hivyo tena tafuta tu sponsor mwingine mimi basi.😂😂😂Nilipie niende na miss natafuta jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ndio hivyo tena tafuta tu sponsor mwingine mimi basi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana matata check me plz ...B.I.GMaisha magumu bna ila we live once atii
Mimi bwana sina dhambi nyingi kiivo,sinywi pombe Wala sigegedwi kwaiyo nataka nienjoy maisha kwa kusafiri.
Sasa nataka nianze safari zangu hapa hapa nchini.
Natafuta rafiki wa kusafiri nae cause I want to try new things as well,new ideas,new friends I hope mmenielewa wakuu.
Sasa kama unaona una sifa tuwasiliane.hela ninazo ila uwe na hela. Na usiwe na ndoa sitaki stress mie japo sio kwamba nakuitaji kimapenzi.
Ila jinsia ya kike nayo pia inakaribishwa
Kwa nini uweke avatar inayokuzidi umri? Kumbe jf wadogo zetu wengi.sikujua uko mdogo hivi😁
Afu huwa najiuliza kwa nini watu wa Jf wanaweka avatar ambayo sio zao au ambazo hawafananii? 😁😁😁😁nawaza tu.
[emoji28][emoji28]Wahaya bana kwa mbwembwe
Maisha magumu bna ila we live once atii
Mimi bwana sina dhambi nyingi kiivo,sinywi pombe Wala sigegedwi kwaiyo nataka nienjoy maisha kwa kusafiri.
Sasa nataka nianze safari zangu hapa hapa nchini.
Natafuta rafiki wa kusafiri nae cause I want to try new things as well,new ideas,new friends I hope mmenielewa wakuu.
Sasa kama unaona una sifa tuwasiliane.hela ninazo ila uwe na hela. Na usiwe na ndoa sitaki stress mie japo sio kwamba nakuitaji kimapenzi.
Ila jinsia ya kike nayo pia inakaribishwa
Niamini nisemayo, najiamini na najiheshimu. Hivyo kama ni kutalii twendeAu siyo??
Nilivyo na wivu niweke ya mtu mwingine ili iweje?Wewe hiyo ni miguu yako?
Nilivyo na wivu niweke ya mtu mwingine ili iweje?
Niamini nisemayo, najiamini na najiheshimu. Hivyo kama ni kutalii twende
Maisha magumu bna ila we live once atii
Mimi bwana sina dhambi nyingi kiivo,sinywi pombe Wala sigegedwi kwaiyo nataka nienjoy maisha kwa kusafiri.
Sasa nataka nianze safari zangu hapa hapa nchini.
Natafuta rafiki wa kusafiri nae cause I want to try new things as well,new ideas,new friends I hope mmenielewa wakuu.
Sasa kama unaona una sifa tuwasiliane.hela ninazo ila uwe na hela. Na usiwe na ndoa sitaki stress mie japo sio kwamba nakuitaji kimapenzi.
Ila jinsia ya kike nayo pia inakaribishwa
Hakuna jambo gumu kama kulala na mwanamke kitanda kimoja alafu asikupe! Tena bora awe mkeo ambaye umemzoea... Akiwa 'ingizo jipya' ni taabu sana... Ilishawahi nitokea... Niliteseka sana usiku ule sitakuja kusahau maishani mwangu... Since then huwa naelewa wanandoa wanaoenda mahakamani kudai kunyiwa unyumba na wenzi wao ni nini wanapitia...Siyo kwa wanaume wa bongo wanaowaza chini muda wote mnakubaliana vizuri kwamba hakuna kugegedana yeye anawaza umemwambia kwamba tutagegedana na mkifika huko anaanza usumbufu yani wanaume wa bongo wamekariri kwamba hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Tushafika huku?
Damnnnnnn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani ila nahofia mimi na wewe tunaweza kuwa siyo rika moja
Mnawazaga ngono tu sijui kwanini[emoji134][emoji134]Ukipata Rafiki wa kiume na aka maintain urafiki kweli itakuwa safi sana, maana wabongo wanapenda sana ku update na kutoka nje ya rules
Mnawazaga ngono tu sijui kwanini[emoji134][emoji134]
Hakuna jambo gumu kama kulala na mwanamke kitanda kimoja alafu asikupe! Tena bora awe mkeo ambaye umemzoea... Akiwa 'ingizo jipya' ni taabu sana... Ilishawahi nitokea... Niliteseka sana usiku ule sitakuja kusahau maishani mwangu... Since then huwa naelewa wanandoa wanaoenda mahakamani kudai kunyiwa unyumba na wenzi wao ni nini wanapitia...