Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Sawa kabla hatuja apply naomba nijue hobby za ako ili nione naweza kufit kwako sitaki unibowe wala mimi nikubowe.....Pia nataka kujua expenditure habit yako high low au medium usije ukawa mtu wakula forodhani usiku wakati mimi sili street food nk
Ahahaa sawa mkuu natuma quotation
 
Ndo hapo sasa wakati mimi mwanamke naweza kwahiyo ili kuepukana na hayo yote ni aidha niwe peke yangu, niwe na mume wangu au niwe na mwanamke mwenzangu au wanawake wenzangu ila siyo mwanaume yeyote tu
Ofcourse bhana ni ngumu..

Kwanza ni bata gani mtakazokula ambazo hazitampelekea mwanaume kuwaza chini??..haipo
 
Wanaume wanapungua sana aisee...

Yani tusafiri,tufikie hotel moja,tutaliii pamoja,zaidi ya masaa 12 halafu starehe bora zaidi ya kubaologiana haipo na mwanaume anakubali tu???
Aiseee kweli hili tatizo ni kubwa kuliko watu wanavyofikiria
 
Wanaume wanapungua sana aisee...

Yani tusafiri,tufikie hotel moja,tutaliii pamoja,zaidi ya masaa 12 halafu starehe bora zaidi ya kubaologiana haipo na mwanaume anakubali tu???
Aiseee kweli hili tatizo ni kubwa kuliko watu wanavyofikiria
Aise wanaume wa hivyo wapo wengi tu na ni wanaume marijali kabisa
 
Sio kwamba wapo hvyo wale wanakua na plan ya baadae pale anakulainisha tu..ni swala la mda tu, hao unaosema wewe wapo ila niwavumilivu mda ukifika atatimuza anachokitaka
No I am saying this from personal experience
 
Mzee vipi una k vant hapo karibu ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaa leo nimeaka na upako..napiga vibia vya watoto tu mzeebaba..,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo sigusi pombe kabisa nakunywa bia tu
 
Jamaa gani? Nilishakutana na zaidi ya mmoja na wote hawakuwahi kunifanya chochote na hadi hivi sasa ninavyoandika hapa wameoa na wana watoto mimi ninaye mtu wangu tu mwingine msipende kulazimisha kila kitu kiwe kama mnavyoamini
Mchunguze huyo jamaa vizuri
Kuna shida sehemu
 
Back
Top Bottom